Wanyakyusa punguzeni uchawi kwa wageni tuje kuwekeza mbeya

Status
Not open for further replies.
Mbeya si salama tena kwa mwekezaji toka Mbali (with exception of Sumbawanga, Iringa & Songea residents/natives)
 
Hao jamaa Wanyakyusa hawalogi mtu wa kwao hata kidogo tabu ipo kwa watoka mbali utapigwa JUJU mpaka ujte kuwekeza mbeya yaani wanataka wawe wao tu kila kitu. Yaani hii mijamaa ya ajabu haswaaaaaaa!!!

Wewe ulichemka tu,hujui biashara bwana na Kichwani mweupeeee badala ya kufanya analysis kwanini umeshindwa umeishia kutoa conclution ya kijinga,umefanya research gani hebu tupe facts siyo kuleta mawazo ya kwenye vijiwe vya kahawa hapa,otherwise maandishi yako yote mimi naona they just bunch of garbage! unajaza server na kumaliza bandwidth.
 
Tuone kama kuna uchawi..Bin Slum kupitia kampuni ya battery na tairi wameingia mbeya na kuidhamini mbeya city.
Sasa tuone kama watafunga virago
 
Mbeya si salama tena kwa mwekezaji toka Mbali (with exception of Sumbawanga, Iringa & Songea residents/natives)

wenzako wataendelea kuwekeza wewe umeshindwa sababu ya ignorance yako ya kuamini uchawi kila kitu! hata ukiumwa tumbo badala ya kwenda hospital unakimbilia kwamba ni uchawi! kazi ipo kwa mtu wa karne hii unakuwa na mawazo ya hovyo namna hiyo!
 
Mbeya kwa mgeni lazima ujipange ama nawe ukanunue uchawi au ujidai kichwa ngumu ingawa hautadumu. Pale kuna wahindi koko wamekomaa maana nao wapo vizuri kiuchawi so ngoma droo na wanyakyusa
 

Du na wewe ulivyo ona mvua ukaamini ni uchawi! duuu kweli ukiwa mtumwa wa ujinga tabu kweli
 

yaani ww kichwan mwako ni ng'ombe kabisa na ni punguani umekalia ushirikina tu.
Mbona wakinga wamewekeza mbeya?
Kwanza huna hata uwezo wa kufungua bima ng'ombe ww pesa yenyew ulipewa na shemeji yako na ukaenda kufanyia umalaya sasa hvi unasema umerogwa ng'ombe wa kienyeji ww
 
wenzako wataendelea kuwekeza wewe umeshindwa sababu ya ignorance yako ya kuamini uchawi kila kitu! hata ukiumwa tumbo badala ya kwenda hospital unakimbilia kwamba ni uchawi! kazi ipo kwa mtu wa karne hii unakuwa na mawazo ya hovyo namna hiyo!

Umejuaje kama hao wahindi koko wachawi kama wewe siyo mchawi na muumini wa uchawi? hebu achakufanya watu hawana mawazo ya kufilikili wewe kumbe ni mshirikina na unamini sana ujinga huo ndiyo maana unakusumbua! acha ujinga bwana
 
kama ni kweli mbeya badilikeni karne ya 21 hii haiitaji uchawi kufanikiwa kimaisha
 
wewe KAJEMBE mbona umekaa kupinga tu au wewe ndo mchawi mwenyewe anayezugumziwa na mtoa mada? hapa ametaja watu ambao hawadhuriwi na uchawi wa wanyakyusa. Je ni kweli?na kwa nini?
 
Actually uchawi unauzwa kama bidhaa za dukani maeneo ya Songea na Kyela (pembezon mwa ziwa nyasa) kuna uchawi wa mamba=ukitaka mtu auliwe na mamba unaenda na 1,000 (elfu moja tu) huyo mtu ataokotwa ziwani akiwa ameuliwa na mamba

Aisee wewe mshirikina professional umetokea maeneo ya ziwani nini au Ukerewe!
 
Hakika haya mambo yapo sana pale Mbeya. Kuna tukio baya sana walishanifanyia ambalo ni ngumu kulisahau ktk maisha yangu yote!
Mijitu ina roho mbaya ile kama zilivyo sura zao!!
Btw haya mambo ya kubaniana hata kwenye mikoa morogoro na tanga yapo sana. Usilogwe ukakutana na mzigua au mluguru watu wana roho ya kwann hao balaa!
 

Huwezi kusema Messi anajua mpira kama wewe mwenyewe huujui mpira, Pole sana kwa kuzidiwa nguvu
 
Mbeya kuna wachawi wa kufa mtu ila ndo wanajidai WAFIA DINI kila JUMAPILI unawakuta wanazuga makanisani kama kweli vile kumbe wakitoka hapo wanaendeleza UCHAWI & NGONO ZEMBE.
 
Hujielewi eeeeeh

Safari hii mmeandamwa sana Thread ya Pili Hii, maana sasa watu biashara zikiwashinda wanawatafuta wanyakyusa, mwingine kanyimwa mke kajakufungua thread wanyakyusa wachawi, mbeya hakuna hoteli vipi!!!!!!!
 
wewe KAJEMBE mbona umekaa kupinga tu au wewe ndo mchawi mwenyewe anayezugumziwa na mtoa mada? hapa ametaja watu ambao hawadhuriwi na uchawi wa wanyakyusa. Je ni kweli?na kwa nini?
Mimi nampinga kwasababu anatukana Wanyakyusa na kutudharau sababu ya imani zake za kichawi,ana maneno ya maudhi sana kwanza anaongea bila tafiti,pili anataka kulazimisha watu waamini uchawi kama yeye anavyo amini! ningeweza kukaa kimya kama angesema mbeya wachawi nisinge jali maana ni ujinga wake ana amini hivyo lakini kusema watu wa mbeya wa hovyo sana kwakweli hapo hajatutendea haki kabisa na hii thread hajaanzia huku ipo hata kwenye jukwaa la biashara ametukana sana,so ulitaka nikae kimya? hivi Tz tukianza kutukana hivyo huoni hiyo ni mbegu mbaya sana ya chuki? mfano wewe mtu akikomaa humu jamii forum kwamba watu wa kwenu wa hovyo sana ana attack kabila unaona hicho kitu kiko sawa kweli?

so mimi kinacho niudhi ni hicho tu,kwamba watu wa mbeya wa hovyo tu! Watanzania tumeanza kuwa hivyo siku hizi!hiyo hoja yako ya kudhuriwa watu wa aina flani hivi wewe na akili zako timamu unamini maneno ya kijinga hivyo? ingekuwa kweli kwa matusi yote haya aliyotukana kwani watu wa mbeya hao mnaowadharau maana sijui nyie ni wa mkoa gani ambao bora sana,si wangemloga tu siyo? maana amewatukana! hapo huwezi kweli kufikili tu ukaona huo ni upumbavu tu wakutaka kutakana watu? au JF Imegueka kijiwe cha wendawazimu na mabingwa kutukana watu hapa.

Mambo ya maana tumeacha kujadili tumeanza kuoneshana ubora wa makabila wakati wageni wanachukua mali asili yetu yote!ukiwadaharu watu wa mbeya yeye anatoka wapi ambao wao ni watanzania wa maana sana kuliko wale mbeya? mimi nilidhani sisi wote ni watanzania tuko sawa kumbe wengine wanajiona ni bora sana kuliko wengine!binafsi siwezi mdharau mtu sababu ya kabila,dini,rangi wala mkoa anaotoka hata siku moja,nimekua na watanzania wenzangu tumesoma wote mpaka elimu ya juu kabisa na wala sijawahi jiona mimi kabila langu ni bora zaidi kuliko wengine maana huo ni ujinga wa hali juu kabisa.Wenzetu Wanyarwanda wanajenga umoja wanakataa ujinga huu sisi mijitu inapalilia ukabila,umkoa,ukanda as if hatukuona madhara waliyopata.
 


Si kina Nicholas huwa wanajitapa huko kwenu kwa maana sana? kwanini msiende fanyia biashara kwenu?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…