Wanyakyusa punguzeni uchawi kwa wageni tuje kuwekeza mbeya

Status
Not open for further replies.
Mimi nimekaa miaka sita napajua vizuri,mgeni akifanikiwa kwenye biashara lazima afanyiwe fitina
 
wewe MRANGI unasema umesoma huko mbona hukulogwa... wale jamaa wana-point mtu wa kumroga wakuloge wewe mwanafunzi watapata nini? wanaloga wageni ambao ni threat kwa biashara zao
 
Mbeya si salama tena kwa mwekezaji toka Mbali (with exception of Sumbawanga, Iringa & Songea residents/natives)

kuna sehemu inaitwa makambako....ukifanya biashara hapo kama sio mkinga imekula kwako lazima urudi kwenu na kibegi chako cha nguo tu...lazima ufilisike ...njombe , iringa .mbeya wamezidisha sana uchawi
 

wakinga, wanyakyusa ni jamii ile ile..wote biashara zao ni uchawi mtupu..nenda tunduma uone wakinga walivyojaa...wote ni walewale tu..uchawi wa wakinga wanautoa makete
 
Mbeya kuna wachawi wa kufa mtu ila ndo wanajidai WAFIA DINI kila JUMAPILI unawakuta wanazuga makanisani kama kweli vile kumbe wakitoka hapo wanaendeleza UCHAWI & NGONO ZEMBE.

mbeya huwezifanya biashara bila kuwa mchawi...mbaya zaidi uchawi wao ni wakutoa kafara ndugu zao
 

Kuna kitu sijakielewa naomba nieleweshwe,hivi kiarabi kina uhusiano na imani za kishirikina? Maana kila kitu kibaya kinaendena na maneno ya kiarabu, mfano yule nyoka wa Arusha eti alikuwa na karatasi yenye maneno ya kiarabu pembeni yake sasa hili nalo la Mbeya eti hirizi ikiwa na maneno ya kiarabu.Sasa naomba kueleweshwa hivi Kiarabu kinakuwa associated na majini na imani za kishirikina? Na kama sivo kwa nini kila tukio baya liwe na maneno ya kiarabu? cc Polite, Nyakageni, THE BIG SHOW, peri, kadoda11, nyali
 
kama ni kweli mbeya badilikeni karne ya 21 hii haiitaji uchawi kufanikiwa kimaisha

Nitajie mahali/sehemu ambapo uchawi au hisia za uchawi hazipo ndani ya Bongo yetu hii tukufu !!!!!!!
 

Tatizo lenu sehemu ya haja kubwa ndio mwaitumia kufikiri hali inayopelekea kuzalisha mashoga wengi. Uogopwe we nani hadi uwatishe watu? Believe or not,kwa mikoa ya bara k'njaro ndio yaongoza kuzalisha mashoga na ndio maana waona unakataliwa.
 
Wapo wenye hadhi ya kutupa huduma ya bima sio hao..

Kwenu mbona hampeleki hizo huduma?

Ujue kwa mikoa ya bara ukiacha tanga,dar, lindi, pwani na mtwara mkoa wa k'njaro unaongoza kwa kuzalisha mashoga. Lakini haiingii akili mie kufanya generalisation kwamba wachaga ni mashoga ilhali si wote na k'njaro hawapatikani wachaga pekee. Achana nae punga huyo kama mapunga wengine wa kichaga.
 


Duh kumbe akina Nicholas ndo walivyo!!!!

Ndio maana ana maneno ya shombo sana..
 
Last edited by a moderator:
WACHAWI sugu huku Mbeya ni WANYIHA,WANYAMWANGA,na WANYAKYUSA.Wakati Wanyakyusa wanaroga watu wananaoonyesha mafanikio katika maisha kama vile wafanyabiashara,wafanyakazi serikalini na kwenye makampuni na taasisi mbalimbali,wasomi na wanafunzi(hasa wa sekondari na vyuo),Wanyamwanga na Wanyiha wao wanaloga watu wanaozaa watoto wenye sura nzuri,wanaokula nyama mara kwa mara(wao nyama wanayokula sana ni ya panya na tumbili au nyani),wanaovaa vizuri na mambo mengine kama hayo.Ila makabila yote hayataki TOHARA.
 
wewe MRANGI unasema umesoma huko mbona hukulogwa... wale jamaa wana-point mtu wa kumroga wakuloge wewe mwanafunzi watapata nini? wanaloga wageni ambao ni threat kwa biashara zao

nilisoma mbeya mpaka kufanya mishemishe pia ila yawezekana mimi sikuwa na fikira ya mambo hayo.ila mkuu mimi acha nkae kimya maana uzi wako nI soo. blessings
 
Last edited by a moderator:

Huyu lazima atakuwa punga. Au hamjui mapunga wamebadilisha jina la biashara yao. Ni wabunifu sana hawa jamaa.
 

Pole sana mkuu ndio maana leo wamezindua LIFT yao ya kwanza tokea ulimwengu ume umbwa
 

Ha ha ha ha Duu mkuu kweli huko sio mchezo,,afu si ndo kunaongoza kwa makanisa kuliko sehemu yeyote Tanzania
 

Yaan wewe ni tahira kwel na inaonyesha ni jinsi gan mbeya huifahamu.kama ww sie mmoja wao umejuaje mambo ya kishirikina kusa yapo mbeya?tuambie mwanjelwa ipi iliyokuja kufungua ofisi ya bima kana sio kujidanganya.
Ngoja tukuekeza ungefungua ofisi mwanjelwa ya bima kwanza ungeonekana sio mbunifu kwan eneo lenyewe halifai kwa biashara hio ,pili usingekuwa na mshindan kwa bisshara yako hapi mwanjelwa maana hakuna kampuni yoyte ya bima hspo.tuambie ulikuja kwa mwavuli wa kamoun gan? Maana kwa yko tu huwezi kufanya biashara ya bima maana kichwa chako kimejaa mawazo madhaifu.
Pia huijui mbeya wala hujawai fika inawezekana.Mkoa wa Mbeya una makabila mengi ya asili mfano wandali na walambya-
ileje,wanyiha -mbozi ,Rungwe ,kyela na Bhusokelo wanyakyusa pamoja na makabila madogo2 kama wapenja,nyika.mby vijijn ,mbeya jiji wasafwa ambao ujio wa wageni hasa wanyakyusa uliwasukumia miliman.wafanya biashara wakubwa ni wakinga na wachaga ndio waliojaa kwenye masoko ya mbeya.sasa unapo msikia haya wan anakurupuka na maneno ya ovyo kama haya inashangaza!!.au umetendwa na wanyskyusa
Kwel ww ni maamuma ivi maneno ya kiarabu yana uhusiano gan na unyakyusa?
Siku nyingine njoo na uzi wa maana wa kujenga.
imeandikwa kimjaacho mtu ndicho kimtokacho
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…