Kwanza jibu hili swali unajua na unaamini yesu alipaa juu kwa Mungu, uko anakula nini?Hii story ya Nuhu inayopatikana katika dini zote kubwa mbili inafikrisha sana, ni kisa ambacho kimekuwa na maswali mengi sana, mojawapo ni ya chakula kwa wanyama waliokuwa katika safina ya Nuhu.
Hawa wanyama wote Simba, Chui, Fisi, chatu n.k walikuwa wanakula nini kwa siku hizo arobaini?
Daa, hakika umekomaa kiroho mkuu....Walilazwa usingizi wa maajabu mpka kizaa zaa kipite.😅😅
Dunia ilikua pangea, bara moja tu.😅Stori ya uongo ile mkuu.
Kwahiyo Panda walitoka China Kwa miguu kwenda kupanda safina ya Nuhu?
Au Kangaroo walitoka Australia mdogo mdogo mpaka mashariki ya kati kwenye safina?
Mpishi ni nani? Au wanakula hivo hivo mkuu, kuna maji ya dawsco au wanatumia ya mvua kuosha vyombo....Kama kuna mito ya pombe ubwabwa wa ngamia utakosekanaje??
Pangea ni miaka mamilioni iliyopita mkuu, wakati hadithi za Nuhu zinakadiliwa ni miaka 4,000 tu hivi iliyopita.Dunia ilikua pangea, bara moja tu.😅
Story ya uongo tu ...... hakuna cha safina wala bibiake safina story za quran na biblia ni kama hadithi za watoto wadogo yaaniHii story ya Nuhu inayopatikana katika dini zote kubwa mbili inafikrisha sana, ni kisa ambacho kimekuwa na maswali mengi sana, mojawapo ni ya chakula kwa wanyama waliokuwa katika safina ya Nuhu.
Hawa wanyama wote Simba, Chui, Fisi, Chatu n.k walikuwa wanakula nini ndani ya safina ya Nuhu kwa siku hizo arobaini?