[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli vyombo vinajiwosha vina uhai mkuu kweli? Maji yanatoka wapi, wana choo au awaendi chooni?Vyombo vinajiosha vyenywe kama ambavyo mabikira 72 wakimaliza kugegedwa wanarudia ubikira upya.
🤣😂 ndiyo hivo ndugu muuminiKwa hiyo wanyama wala nyama kama Simba, Chui, Fisi, Chatu n.k walibebewa nyama za kula kwenye safina?
Hizi stories za dini zote zimekopiwa kwenye kitabu cha hadithi za kale zaidi kinaitwa gilgamesh.Story ya uongo tu ...... hakuna cha safina wala bibiake safina story za quran na biblia ni kama hadithi za watoto wadogo yaani
Angalau umejaribu kuwaza, na nafikiri jamii nzima ya nuhu kalikuwa kapori tu wala sio kijijiDunia ilikua pangea, bara moja tu.😅
Tujifunze tu mkuuAngalau umejaribu kuwaza, na nafikiri jamii nzima ya nuhu kalikuwa kapori tu wala sio kijiji
Alfu lela - UlelaStory ya uongo tu ...... hakuna cha safina wala bibiake safina story za quran na biblia ni kama hadithi za watoto wadogo yaani
😁🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁🙌🙌Vyombo vinajiosha vyenywe kama ambavyo mabikira 72 wakimaliza kugegedwa wanarudia ubikira upya.
🤣🤣Kwa hiyo wanyama wala nyama kama Simba, Chui, Fisi, Chatu n.k walibebewa nyama za kula kwenye safina?
🤣🤣🤣 Hiki Kizazi kifutwe hakidanganywi kirahisi[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli vyombo vinajiwosha vina uhai mkuu kweli? Maji yanatoka wapi, wana choo au awaendi chooni?
Mmh hiyo ni ya kwako mkuu.nadhani ni tukio lililotokea katika sehemu ndogo sana ya dunia ni sio kila pahala
Nimetumia neno "Nadhani" nahisi utakuwa hujalionaMmh hiyo ni ya kwako mkuu.
Sawa mkuu huendaNimetumia neno "Nadhani" nahisi utakuwa hujaliona