Nyasi!Hii story ya Nuhu inayopatikana katika dini zote kubwa mbili inafikrisha sana, ni kisa ambacho kimekuwa na maswali mengi sana, mojawapo ni ya chakula kwa wanyama waliokuwa katika safina ya Nuhu.
Hawa wanyama wote Simba, Chui, Fisi, Chatu n.k walikuwa wanakula nini ndani ya safina ya Nuhu kwa siku hizo arobaini?
Sijaelewa kwani Dunia nzima ndio ilipata hiyo ghalikaStori ya uongo ile mkuu.
Kwahiyo Panda walitoka China Kwa miguu kwenda kupanda safina ya Nuhu?
Au Kangaroo walitoka Australia mdogo mdogo mpaka mashariki ya kati kwenye safina?
Masimulizi ya Biblia na Quran ni kama yanasema mafuriko yalitokea Dunia nzima. Yaani Dunia yote ilijaa maji.Sijaelewa kwani Dunia nzima ndio ilipata hiyo ghalika
Huenda.Masimulizi ya Biblia na Quran ni kama yanasema mafuriko yalitokea Dunia nzima. Yaani Dunia yote ilijaa maji.
Hiyo ukiileta kimantiki inakataa.
Kiuhalisia ni labda yalitokea mafuriko eneo Dogo tu ila ikanukuliwa tofauti.
Yesnadhani ni tukio lililotokea katika sehemu ndogo sana ya dunia ni sio kila pahala
Anataka tu achanganyikiwe kama waumini wa mitume na manabiiKwenye imani tunaamini fanya yako na Mungu atamalizia ulipoishia.
Ukisubiri majibu ya kisayansi kwenye mambo ya kiimani utakuwa umejiandaa kutokuelewa.
Nabii anatabiri SSH atapata wakati mgumu --- hiki jambo linahitaji unabii kweli ? kuna walakini sana kwa hawa manabii🤣🤣🤣
Ule ni utapeli , So called mitume Muhammad and the likes ndio chanzo Cha Uwepo wa kina mwamposa kakobe etc , Wale ndio walio wainfluence Hawa manabii wa Sasa kuwa hivi walivyo Leo ,
Unabii ni utapeli tangu kitambo ukishakuwa na elimu ya theology ambayo imelenga kuwa tapeli watu na kuwatawala basi Wewe lazima uwe master ktk hayo mambo mengine ni chai tu
Na hili ndo tatizo kubwa la wasioamini. Kutaka kugeuza masuala ya kiimani kuwa ya kisayansi. Mfano mleta mada anaelewa kwamba kisayansi kiumbe hai lazima kile ndo maana anataka majibu kuwa walikula nini, yupo sahihi kisayansi ila katika imani lolote linawezekana ikiwemo kutokula kwa muda wote huo.Kwenye imani tunaamini fanya yako na Mungu atamalizia ulipoishia.
Ukisubiri majibu ya kisayansi kwenye mambo ya kiimani utakuwa umejiandaa kutokuelewa.
Waafrika wagumu sana kuelewa.Safina hajawahi kuwepo hayo ni mambo ya kubuni kama picha mwendo tu hakuna sehemu yote sayansi imeonyesha au kudhibitisha
Ata wana wa ISRAIL walipokuwa wanaondoka nchini misri kwenda nchi ya ahadi,walimwomba musa maji na MUNGU akamwagisa MUSA apige mwamba mara moja,nao mwamba ukatoa maji,,,pia wakiwa safarini hali ya njaa ilopowakabli,, MUNGU alishusha chakula toka mbinguni{manner}....,,,MUNGU hashindwi inawezeakana hawakula chochote na hawakuhisi njaa,au walikuwa wakipewa chakula cha miujiza!!Hii story ya Nuhu inayopatikana katika dini zote kubwa mbili inafikrisha sana, ni kisa ambacho kimekuwa na maswali mengi sana, mojawapo ni ya chakula kwa wanyama waliokuwa katika safina ya Nuhu.
Hawa wanyama wote Simba, Chui, Fisi, Chatu n.k walikuwa wanakula nini ndani ya safina ya Nuhu kwa siku hizo arobaini?
Hakuna majibu ya Biblia ?Ata wana wa ISRAIL walipokuwa wanaondoka nchini misri kwenda nchi ya ahadi,walimwomba musa maji na MUNGU akamwagisa MUSA apige mwamba mara moja,nao mwamba ukatoa maji,,,pia wakiwa safarini hali ya njaa ilopowakabli,, MUNGU alishusha chakula toka mbinguni{manner}....,,,MUNGU hashindwi inawezeakana hawakula chochote na hawakuhisi njaa,au walikuwa wakipewa chakula cha miujiza!!