Wanyama waliokuwa katika safina ya Nuhu wakati wa gharika walikuwa wanakula nini?

Nyasi!
 
Stori ya uongo ile mkuu.
Kwahiyo Panda walitoka China Kwa miguu kwenda kupanda safina ya Nuhu?
Au Kangaroo walitoka Australia mdogo mdogo mpaka mashariki ya kati kwenye safina?
Sijaelewa kwani Dunia nzima ndio ilipata hiyo ghalika
 
Sijaelewa kwani Dunia nzima ndio ilipata hiyo ghalika
Masimulizi ya Biblia na Quran ni kama yanasema mafuriko yalitokea Dunia nzima. Yaani Dunia yote ilijaa maji.
Hiyo ukiileta kimantiki inakataa.
Kiuhalisia ni labda yalitokea mafuriko eneo Dogo tu ila ikanukuliwa tofauti.
 
Masimulizi ya Biblia na Quran ni kama yanasema mafuriko yalitokea Dunia nzima. Yaani Dunia yote ilijaa maji.
Hiyo ukiileta kimantiki inakataa.
Kiuhalisia ni labda yalitokea mafuriko eneo Dogo tu ila ikanukuliwa tofauti.
Huenda.
 
Simba akae na swala na asimle? 😹
Labda simba iliofungwa na Yanga pekee naweza kuamini..!!
 
Kwenye imani tunaamini fanya yako na Mungu atamalizia ulipoishia.

Ukisubiri majibu ya kisayansi kwenye mambo ya kiimani utakuwa umejiandaa kutokuelewa.
Anataka tu achanganyikiwe kama waumini wa mitume na manabii
 
Nabii anatabiri SSH atapata wakati mgumu --- hiki jambo linahitaji unabii kweli ? kuna walakini sana kwa hawa manabii
 
Hivi ni lini waafrika mtajifunza kwamba Biblia ni hekaya?

When will you learn that, Bible is the work of fiction?

Biblia haina tofauti na hekaya za Abunuwasi, Esopo na Kalume kenge.
 
Kwenye imani tunaamini fanya yako na Mungu atamalizia ulipoishia.

Ukisubiri majibu ya kisayansi kwenye mambo ya kiimani utakuwa umejiandaa kutokuelewa.
Na hili ndo tatizo kubwa la wasioamini. Kutaka kugeuza masuala ya kiimani kuwa ya kisayansi. Mfano mleta mada anaelewa kwamba kisayansi kiumbe hai lazima kile ndo maana anataka majibu kuwa walikula nini, yupo sahihi kisayansi ila katika imani lolote linawezekana ikiwemo kutokula kwa muda wote huo.
 
Safina hajawahi kuwepo hayo ni mambo ya kubuni kama picha mwendo tu hakuna sehemu yote sayansi imeonyesha au kudhibitisha
Waafrika wagumu sana kuelewa.

Wanajaribu kufosi fictions ziwe facts bila uthibitisho.

Biblia ni hekaya za kutungwa na wajinga fulani wakale.
 
Unaweza kufikilia ninamna Gani uliweza kula chakula au kuishi tumboni mwa mama ako, na pia kifaranga kinaishi vipi kwenye yai, je hii haitoshi kusema mungu ni mkuu na hakuna lisilo wezekana kwake!!!💬 Au habari ya nuhu na wanyama kwenye safina hii haiwezekani mbele za mungu!????
 
Ata wana wa ISRAIL walipokuwa wanaondoka nchini misri kwenda nchi ya ahadi,walimwomba musa maji na MUNGU akamwagisa MUSA apige mwamba mara moja,nao mwamba ukatoa maji,,,pia wakiwa safarini hali ya njaa ilopowakabli,, MUNGU alishusha chakula toka mbinguni{manner}....,,,MUNGU hashindwi inawezeakana hawakula chochote na hawakuhisi njaa,au walikuwa wakipewa chakula cha miujiza!!
 
Hakuna majibu ya Biblia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…