Wanyaturu wamemkosea nini huyu DJ anayetafsiri filamu na series za nje? Haoni kama anatengeneza chuki ya ukabila?

mbna unachukulia serious Sana,fikiria mi muha Niko zangu na totoz mjini afa naambiwa waha wabishi na ni wachafu plus kuloga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Labda aliwahi kuwa na dem wa kinyaturu akamzingua,maana madem wa kinyaturu wanajulikana mcharuko by nature

Ova
 
Alitolewa rinda na mnyaturu nahisi amemmisi baada ya kufanywa kitu mbaya

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hilo swali nami nilikuwa najiuliza sana aiseee kwenye Walking Dead anawasema sana Wanyaturu.
 
We mnyaturu vipi usituletee ushamba wako wa singida hapa,
Hii thread ungeipeleka jukwaa la utani huko!
😂😂😂😂😂
 
Huyo atakuwa mnyiramna ni watani wao
Mkuu wewe ni Mnyaturu?
 
Yaap jamaa yuko vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…