Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitolewa rinda na mnyaturu nahisi amemmisi baada ya kufanywa kitu mbayaHuyu DJ mtafsiri wa movies na series za nje anawaponda Sana wanyaturu sijui wamemkosea Nini kwa kweli anauzi Sana huyu kenge.kila kitu yeye ni wanyaturu wanyaturu mpaka Kero yaaani.wanyaturu kamshtakini huyu kengere kwa kuwafanya muonekane watu wa Karne ya 20.hizi ni baadhi ya kauli zake anazozitoa pindi anapotafsiri movie zake
1-"Bora wanyaturu Mia sita wafe kuliko wazungu wawili maana wanyaturu hawana msaada kwenye Karne hii"
2-"watu kumi na wanyaturu wawili almanusra wapate ajali pale ngaramtoni"
3-"ukikuta mnyaturu kavaa suti lazima uwe na maswali ya kujiuliza inamaana suti zimeshuka hadhi siku hizi kila mtu anajivalia tu"
Sio kauli hizi tu anakauli nyingine tu kengere huyu.
Sisi sote WanyaturuMkuu wewe ni Mnyaturu?
Ahahaha mbuyane dj amekugusa sana.....kwa swal
kwa swali lako ni sawa na kuuliza mate mdomoni
Kuhusu suti???Tulia wewe bwana mdogo kutoka hapo Singida.
Mkuu wewe ni Mnyaturu?
Huyu DJ mtafsiri wa movies na series za nje anawaponda sana Wanyaturu sijui wamemkosea Nini kwa kweli anaudhi sana huyu. Kila kitu yeye ni Wanyaturu, Wanyaturu mpaka Kero yaaani. Wanyaturu kamshtakini huyu kwa kuwafanya muonekane watu wa Karne ya 20.
Hizi ni baadhi ya kauli zake anazozitoa pindi anapotafsiri movie zake:
1- Bora wanyaturu Mia sita wafe kuliko wazungu wawili maana wanyaturu hawana msaada kwenye Karne hii
2- Watu kumi na wanyaturu wawili almanusra wapate ajali pale Ngaramtoni
3- Ukikuta Mnyaturu kavaa suti lazima uwe na maswali ya kujiuliza "ina maana suti zimeshuka hadhi siku hizi kila mtu anajivalia tu?"
Sio kauli hizi tu, ana kauli nyingine huyu.
ndo ukweli wenyewe huu Sasa,japo umetaniaAlisalitiwa na kenge wa kinyaturu(natania tu)
Yaap jamaa yuko vizuri sanaMkuu jamaa anapenda tu utani na ukizingatia pia wanyaturu ni watani wake, nje ya maada kidogo: Jamaa yuko vizuri ndo dj pekee (ommy dj) anaenishawishi kuangalia muvi na series za kizungu zilizotafsiriwa anajua kingereza na ana content balaa, sio hawa madj wengine full makelele plus kutafsiri uongo. Thank you mleta maada.
Unamaamisha nini?..au ugali + maziwa kama mboga?Kuhusu suti???