Wanyaturu wamemkosea nini huyu DJ anayetafsiri filamu na series za nje? Haoni kama anatengeneza chuki ya ukabila?

Wanyaturu wamemkosea nini huyu DJ anayetafsiri filamu na series za nje? Haoni kama anatengeneza chuki ya ukabila?

mbna unachukulia serious Sana,fikiria mi muha Niko zangu na totoz mjini afa naambiwa waha wabishi na ni wachafu plus kuloga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Labda aliwahi kuwa na dem wa kinyaturu akamzingua,maana madem wa kinyaturu wanajulikana mcharuko by nature

Ova
 
Huyu DJ mtafsiri wa movies na series za nje anawaponda Sana wanyaturu sijui wamemkosea Nini kwa kweli anauzi Sana huyu kenge.kila kitu yeye ni wanyaturu wanyaturu mpaka Kero yaaani.wanyaturu kamshtakini huyu kengere kwa kuwafanya muonekane watu wa Karne ya 20.hizi ni baadhi ya kauli zake anazozitoa pindi anapotafsiri movie zake
1-"Bora wanyaturu Mia sita wafe kuliko wazungu wawili maana wanyaturu hawana msaada kwenye Karne hii"
2-"watu kumi na wanyaturu wawili almanusra wapate ajali pale ngaramtoni"
3-"ukikuta mnyaturu kavaa suti lazima uwe na maswali ya kujiuliza inamaana suti zimeshuka hadhi siku hizi kila mtu anajivalia tu"
Sio kauli hizi tu anakauli nyingine tu kengere huyu.
Alitolewa rinda na mnyaturu nahisi amemmisi baada ya kufanywa kitu mbaya

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hilo swali nami nilikuwa najiuliza sana aiseee kwenye Walking Dead anawasema sana Wanyaturu.
 
We mnyaturu vipi usituletee ushamba wako wa singida hapa,
Hii thread ungeipeleka jukwaa la utani huko!
😂😂😂😂😂
 
Huyo atakuwa mnyiramna ni watani wao
Mkuu wewe ni Mnyaturu?
Huyu DJ mtafsiri wa movies na series za nje anawaponda sana Wanyaturu sijui wamemkosea Nini kwa kweli anaudhi sana huyu. Kila kitu yeye ni Wanyaturu, Wanyaturu mpaka Kero yaaani. Wanyaturu kamshtakini huyu kwa kuwafanya muonekane watu wa Karne ya 20.

Hizi ni baadhi ya kauli zake anazozitoa pindi anapotafsiri movie zake:

1- Bora wanyaturu Mia sita wafe kuliko wazungu wawili maana wanyaturu hawana msaada kwenye Karne hii
2- Watu kumi na wanyaturu wawili almanusra wapate ajali pale Ngaramtoni
3- Ukikuta Mnyaturu kavaa suti lazima uwe na maswali ya kujiuliza "ina maana suti zimeshuka hadhi siku hizi kila mtu anajivalia tu?"

Sio kauli hizi tu, ana kauli nyingine huyu.
 
Mkuu jamaa anapenda tu utani na ukizingatia pia wanyaturu ni watani wake, nje ya maada kidogo: Jamaa yuko vizuri ndo dj pekee (ommy dj) anaenishawishi kuangalia muvi na series za kizungu zilizotafsiriwa anajua kingereza na ana content balaa, sio hawa madj wengine full makelele plus kutafsiri uongo. Thank you mleta maada.
Yaap jamaa yuko vizuri sana
 
Back
Top Bottom