Wanyaturu wamemkosea nini huyu DJ anayetafsiri filamu na series za nje? Haoni kama anatengeneza chuki ya ukabila?

Anatafsiri series au anatunga za kwake..., sababu sioni mahusiano ya series za huko Dunia ya mbali aweke mambo ya huku tena wingi...

Hapo kosa sio kuwasema hao watani zake bali ni kudanganya jamii kwa kuweka vitu ambavyo havipo (in short hako ni ka-aina ka ufisadi katika dunia ya hati miliki)
 
😅😅😅😅😅nitafutieni muvi za huyu jamaa
 
Mbona alishawahi sema kwamba wanyaturu ni watani zake, na anafanya kazi na mnyaturu ao ni jokes tu, dont panic men life its so short
 
Hivi ni ukosefu wa ajira unafanya watu mnakua mnafatilia "video" kiasi hichi?

Yani we mke wako anashinda nyumbani siku nzima anaangalia muvi zilizotafsiriwa na wewe tena unashinda nae?

Really???? Aiseee!
 
Anatafsiri series au anatunga za kwake..., sababu sioni mahusiano ya series za huko Dunia ya mbali aweke mambo ya huku tena wingi...

Hapo kosa sio kuwasema hao watani zake bali ni kudanganya jamii kwa kuweka vitu ambavyo havipo (in short hako ni ka-aina ka ufisadi katika dunia ya hati miliki)
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jf is to funy .... yani watu mpo seroius kiasi kwamba hamjui kutofautisha utani na uhalisia
 
Usitake kila mtu aishi lifestyle uishiyo wewe.
Hivi ni ukosefu wa ajira unafanya watu mnakua mnafatilia "video" kiasi hichi?

Yani we mke wako anashinda nyumbani siku nzima anaangalia muvi zilizotafsiriwa na wewe tena unashinda nae?

Really???? Aiseee!
 
Dj afro mzee wa aaalllright asante Sana jinsi anavyo taniaga wajaluo ingekua anatania wanyaturu na wanyaturu wenyewe wangekua kama ww Basi ungekua umeshajinyonga yule jamaa anatania vbaya knyama unakasirika had inafika hatua inabidi ucheke tu maana ye akiona tu mtu mweusi anaongea kwenye movie ye anatafsiri huk anaongea kiswahili Cha kijaluo huku anaitisha ugali na omena sijui hiyo omena inakuaga ni nn[emoji1] mtu mweusi yoyote atakae tokea kwenye movie ye anamuita mubaruya
 
omena ni dagaa,DJ afro anatania kwa heshima ila hilo jamaa linawadhalilisha wanyanturu
 
Back
Top Bottom