Mkuu umechanganya madesa. Mademu wa kinyiramba ndo sioLabda aliwahi kuwa na dem wa kinyaturu akamzingua,maana madem wa kinyaturu wanajulikana mcharuko by nature
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umechanganya madesa. Mademu wa kinyiramba ndo sioLabda aliwahi kuwa na dem wa kinyaturu akamzingua,maana madem wa kinyaturu wanajulikana mcharuko by nature
Ova
Hahaha nmekuhamishia kesi hiyoMkuu umechanganya madesa. Mademu wa kinyiramba ndo sio
Ugonjwa kwa sababu za kinyaturu....Imagine mtu unapata ugonjwa wa moyo kwa sababu ya kijinga kama hii....
[emoji23][emoji23][emoji23]Anatafsiri series au anatunga za kwake..., sababu sioni mahusiano ya series za huko Dunia ya mbali aweke mambo ya huku tena wingi...
Hapo kosa sio kuwasema hao watani zake bali ni kudanganya jamii kwa kuweka vitu ambavyo havipo (in short hako ni ka-aina ka ufisadi katika dunia ya hati miliki)
mleta mada yupo sahihi, DJ mpumbavu sana yule huwa namsikia kwenye nyumba ya jirani yangu amepitiliza utani sasaPunguza jazba, hao ni watani zake.
Hivi ni ukosefu wa ajira unafanya watu mnakua mnafatilia "video" kiasi hichi?
Yani we mke wako anashinda nyumbani siku nzima anaangalia muvi zilizotafsiriwa na wewe tena unashinda nae?
Really???? Aiseee!
omena ni dagaa,DJ afro anatania kwa heshima ila hilo jamaa linawadhalilisha wanyanturuDj afro mzee wa aaalllright asante Sana jinsi anavyo taniaga wajaluo ingekua anatania wanyaturu na wanyaturu wenyewe wangekua kama ww Basi ungekua umeshajinyonga yule jamaa anatania vbaya knyama unakasirika had inafika hatua inabidi ucheke tu maana ye akiona tu mtu mweusi anaongea kwenye movie ye anatafsiri huk anaongea kiswahili Cha kijaluo huku anaitisha ugali na omena sijui hiyo omena inakuaga ni nn[emoji1] mtu mweusi yoyote atakae tokea kwenye movie ye anamuita mubaruya