Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

nchi haina vazi la taifa ila imekazana kuonea watu kuvaa watakavyo, kunyoa kiduku inazuia nini uchumi kupanda

walio litia taifa umaskini wa ajabu ni wale wavaa suti na tai.
 
Hata mimi nilivyonyimwa unyumba nilikua na akili kama zako. Vumilia ni upepo tuu utapita. Waache watu wafanye yao tena nasikia tuna uhaba wa street children
 
Ila heshima asaivi wananyoa tu hukuti viduku mitaani kwa kweli
 
Ndo mana trump alivosema hataki wahamiaji kutoka africa na kutuita shimo la choo kuna watu waliona yuko sahihi. Sisi akili zetu ni kuwaza umbea na kufatilia watu wanavaa nini au wanaishi vp. Hatuwazi maendeleo.
 
Back
Top Bottom