Zakamwamoba
Senior Member
- Jul 28, 2016
- 177
- 609
Siku za karibuni watu wamepotosha maana ya wanyonge na kusema Tusijite wanyonge.
Guys wanyonge ni wale watu wa hali ya nchi ambao mara nyingi wanakosa wa kuwaseme,kama vile boda boda nk. Rais JPM alijitahidi sana kuwa karibu na watu hawa na kwa uhalisia kundi hili lina watu wengi.
Nimereview hotuba ya leo ya Mh.Rais Samia Suluhu,kitu nimenote ni kwamba uongozi wake unaencourage sana watu wenye kipato cha juu .Zile zama za unanijua mm nani naonae zinarudi.
Gape la wenye nacho na wasio nacho litakuwa kubwa.Rushwa itashika kasi hasa huko TRA.
Wasiwasi hawa watu (Wanyonge) kumkumbuka JPM muda si mrefu.Any way ni mapema sana kuyasema haya ,wacha tuone.