Wanyonge hatuna chetu awamu hii

Samia ni Kikwete mwanamke
 
Hayo mabega lazima tuyashushe kwa nyundo
 
Maskini wa tz ni wabaya sana na wanaroho mbaya sana wanafurahia sana umaskini uende kwa kila mmoja
 

Hakuna cha wanyonge wala beberu. Hizo terminology mbili zilikuwa planted kuwapumbaza tu...
No salary increment 6 yrs halaf bado mnashangilia eti anatetea wanyonge ?
Mbona hizo hela akina kakoko na Dotto wameiba hakuwahi kuwagawia wanyonge..?
Hivi unafikiri hayo maandaki yakutorosha tanzanite walikuwa wanaiba vibaka ??
Mfano wa Leo wa hiyo taasisi Bodi imekaa vikao 28 ktk mwaka mzima na kujilipa about 1b... yy na hizo mbwembwe zake hakujua ?
Wakandarasi kutolipwa ndani ya wakati na huyo binamu yake... hakujua ???

Na yatazidi kufumuliwa tu, subiri report ya hazina miezi hii 3 ambayo CAG aliagizwa afanye ubaguzi...then report ya ubaguzi Tanroad ndo utajua mabeberu tulikuwa nao humu humu ndani
 
Wanafiq wakubwa mnafurahia kuitwa wanyonge wakati anaye waita wanyonge anawajibu mkakae na mavi yenu makwenu,hahahaaaaaaa

aliwatumia wajinga kama wewe kujiimarisha kisiasa na nyie mlivyo wajinga mkahadaika nae eti wanyonge halafu anawanyima misaada tena kwa kejeli anaenda kuwapa msaada msumbiji ili apate sifa, eti wanyonge.

Tunajua mipango yenu na mna mikakati ya kuhakikisha mnamkwamisha mama kisa kaanza kufichua maovu ya mungu mtu wenu eti na nyie muanze kujibu mashambulizi, huyo mungu mtu wenu mliye mtengeneza hasafishiki ni mchafu, mbinafsi, mwizi, na mlaghai wa maneno na mwongo mkubwa ,mkabila nasikia mipango yenu ya kumpigia chepuo atawale hadi akichoka na kikundi chenu mlicho andaa kifanye maandamano ya kutengeneza eti kumshinikiza abaki madaraka imevurugikia njiani ,

bora mungu kamuondosha tanzania iponee kwenye mikono salama ya mama samia, nyie na usukuma wenu na kundi lenu la kumkwamisha mama mtaumbuka tu tunataarifa zenu vyema kabisa.
 
Wanyonge kwenu ni chato nendeni mkeshe kaburini kwake atafufuka 2025
 
Sng
Angalau hawatapotea watu katika mazingira ya kutatanisha.
 
Wanyonge wa hapa Tanzania niwale wadanganyika wakiambiwa wanyonge ama wazalendo matako hulia mbwata
 
Hamna chune maana mmeamua kuendelea kwa makusudi kuwa wanyonge as a way of life.
 
Hivi hizo zama za unanijua mimi nani kwani zilienda wapi? Mbona zipo miaka yote hebu acheni unafiki Watanzania
 
Wanyonge ni watu wajinga ambao hawajitambui ...

Kataa unyonge...
 
Jiite wewe mnyonge itatosha Sana! Perception yako ipo low Sana kwani ulivyopokea wewe unadhani na wengine wamepokea Kama wewe.
Kama ulinufaika kwa kuitwa mnyonge Basi huna Budi kujibadilisha jina na kujiita yatima!
 
Wewe nawe ni mingoni mwa wanyonge?Nini chanzo cha unyonge wa raia katika nchi huru for over 59 years ilhali kuna raslimali lukuki?
Tusilazimishane unyonge tusiostahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…