Wanyonge hatuna chetu awamu hii

Wanyonge kwenu ni chato nendeni mkeshe kaburini kwake atafufuka 2025
Wakitaka wafe wakaongee naye huko alipo zama za ubabe, vitisho, na kutolewa roho zimeisha. Jina "wanyonge "ni propaganda za wao kuimaliza Nchi, na bado yatafumuka mengi aliyokuwa akiyafanya yule Marehemu mkono wa chuma
 
Kwani kawanyang'anya pikipiki zenu?
 
Hao Boda boda wanatakiwa kusemewa nini? Kuvaa helmet? Wasipakizane mishikaki? Wasiendeshe mwendokasi? Au wasitie wanafunzi mimba?

Wale watoto wa mitaani wajiitaje? Wanaolala kwenye vibaraza vya watu, mvua yao jua lao,
Acheni kujinyongesha ujinga,

#Kazi iendelee#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…