Wanyonge sasa muda wao na wao kuishi kama mashetani, sisi matajiri zamu yetu imekwisha

si ndio vizuri ili tubondane yatokee babadiliko!!!

magufuli alifanya kazi kubwa ya kuchambua mchele ma chuya,kila mtu kajitambua.
Kizuri alichofanya Magufuli ni Daraja la Kigongo tu.
 
Kama haujawai kuwa mmachinga hata kwa usiku mmoja lazima uunge mkono hoja.
Na kama hujawahi kuwa na duka Kariakoo halafu nje pana Machinga wasiolipa kodi na wanauza bidhaa kama zako kwa BUSU BEI, lazima upinge kuondolewa kwao. Kila mtu ashinde mechi zake ndg.
 
Mataga wanapata shida. Wanachotaka ni kumgombanisha Rais Samia na Wananchi.
 
Legasi haitetewei,legasi inajitetea yenyewe - Nape.
 
Wewe wasema,ila mimi nasema Kiduchu na Hasara nyingi alileta ambazo zitatuathiri sisi na Vijukuu na Vilembwe
hilo daraja la busisi vipi hasara zake?

CAG anasemaje??
vipi waliokuwa anawafanya kazi kwenye kivuko,wamezingatiwa baada ya hapo??
maisha ya samaki nayo yako hapo ndani ya ziwa baada ya nguzo kusimikwa??
vipi uchumi kwa ujumla haujaadhirka maana kuna sheri ilikuwa inauza diesel kwenye kivuko!!!

kila mladi wa magufuli ni hasara vizazi na vizazi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Yale Mandege halafu jumlisha na Chato International Airport ya kufugia Mbuzi
madege ambayo moja analipanda mama[emoji24][emoji24]
na mengine yanaletwa.

kwalweli ni hasara kwa taifa.
 
madege ambayo moja analipanda mama[emoji24][emoji24]
na mengine yanaletwa.

kwalweli ni hasara kwa taifa.
Hata kama Mama kapanda hakuondoi ukweli kwamba Kodi yetu badala ya kufanya mambo Muhimu inaenda kuwalipa mishahara mikubwa akina Musiba na Veronica France yake na matangazo ya ATCL
 
Hata kama Mama kapanda hakuondoi ukweli kwamba Kodi yetu badala ya kufanya mambo Muhimu inaenda kuwalipa mishahara mikubwa akina Musiba na Veronica France yake na matangazo ya ATCL
si ndio maana nasema hakuna alichofanya!!!!au nakosea sana!.
 
Barabarani ni maalumu kwa ajili ya magari na sio machinga
 
kama ambavyo watu hawasombwi kwenda msibani na kulazimishwa walie.

kuna vitu viko natural tu yaani.

Legasi haitetewi bali inajitetea yenyewe ,yanini utoe hamasa kwenye redio na TV watu waende?? Legasi legasi haitetewi.
 
Wapunguzwe unakuta mtu anakimbia Shamba lake Kijijini anakuja Mjini na familia yake ni hatari sana kwa Nguvu kazi ya Nchi
Kabisa halafu kuzaliana hovyo, mwisho wa siku tunaongeza tatizo idadi maskini ,ombaomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…