Wanyonge sasa muda wao na wao kuishi kama mashetani, sisi matajiri zamu yetu imekwisha

Kabisa halafu kuzaliana hovyo, mwisho wa siku tunaongeza tatizo idadi maskini ,ombaomba.
Unakuta Visichana hata havitumii kinga zozote Vinazaa na kila aina ya Mwanaume

Taifa linakuja kuwa na Wazembe wengi kuliko Wasomi
 
Yap masikini tuungane tupambane na sisi tutajirike hakuna kubebana kijinga hata hao matajiri walifanya kazi ya ziada kuupata huo utajiri
 
Acha kujishtukia
Acha kalalamika

Ova
 
Yusuf Manji arudi na alipwe na fidia ili Ajira zirudi kama zamani
 
na mimi nasema waondolewe kabisa
Sasa unakuta mtu ana Duka analipia kodi chungu mzima halafu wao wanakuja kutandika bidhaa zao mbele ya fremu unayoilipia fedha nyingi halafu hawalipi kodi
 
Sasa unakuta mtu ana Duka analipia kodi chungu mzima halafu wao wanakuja kutandika bidhaa zao mbele ya fremu unayoilipia fedha nyingi halafu hawalipi kodi
mkuu acha tu hapa kwetu MWANZA machinga ni kero ya jiji
 
Yusuf Manji arudi na alipwe na fidia ili Ajira zirudi kama zamani
Kweli inabidi mama ambembeleze Manji arudi maana yule ndio mwekezaji wa Manji Gas arudi washirikiane kutoa ajira na Rostam wa Taifa Gas.

Watu wa karibu wa mama wamsaidie mama akutane na Manji wazungumze yaishe arudi,Manji ataisaidia hata Yanga kwa pamoja wakiwekeza na Rostam Yanga itakuwa haikimbii mechi za kwa Mkapa na Simba😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…