Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond

yote ni dharau, ni mtt wa tandele iv ni kweli kabisa kwamb mbeya hakuna hotel ya kulala yy! usithubu2 kufka pande ile watamnyonya kimba

Ahahahahaha.WHEN POORLY GETS.. BUTOCKS CRIES LOUDLY...... TEHHHHH
 
kweli aisee mimi home mbeya kwa ile kauli namuona pimbi sana mbona watu kama AY washafanya collabo hadi na kina romeo but still hawana makuu? diamond kaka yangu acha dharau mashabiki ndo tuliokufikisha hapo!

Kama unamuita Diamond kaka basi utakuwa mtoto mdogo sana.
 
kula tano hatupendi maisha ya location mda wote
Kuna mahali niliuliza..ila kusema ukweli hii imetokana na maisha anayoishi..watu wanaangalia visingizio vingine..ila ni maisha wanayoishi ya kuigiza, wana hela sana, dharau, kuongea
mambo ya kijinga jinga kwenye mitandao..kama kuponda hoteli za mbeya, kuponda techo nk...walijisahau sana sasa ndo feedback hiyo wanaipata
 

Umeongea kweli mtupu sifa za kijinga zime wa cost mara kile sijui nini na kujiona wao ndo best kwa kuendekeza maisha ya kitamthilia na Watanzania wengi hawapendi shobo wajirekebishe
 

hakujua km watumia tecno ndo washabiki wake
wa samsung na nokia hao wanamsikiza pharell william
 
Umeongea kweli mtupu sifa za kijinga zime wa cost mara kile sijui nini na kujiona wao ndo best kwa kuendekeza maisha ya kitamthilia na Watanzania wengi hawapendi shobo wajirekebishe
Ni kweli miss Diva Beyonce, ni mwanamziki, mtu wa movie na watu wa burudani inatakiwa waheshimu mashabiki wao sana, maana hizo techno na hizo hoteli wanazo kataa ndo 95% ya mashabiki wao wanazitumia, waende fiesta pale kama hawatakuta watu wametoka uswazi watoto wageti labda ambao wapo chuo tu ndo wameenda..wanaangalia sababu nyingine lkn ndo hizo..wakati mwingine ni ushauri wanakosa bana..
 
Duu.hiyo ni dalili mbaya hata akiamua kuipotezea.Aangalie alipokosea arekebishe.Kiba naye aliimba?hakuzomewa na team domo?

Ni kweli aangalie alipokosea kiba ndio alifunika kwa wasanii wa bongo team wema walikuwa wanatamba instagram wote kimyaaaa
 
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kuhonga watu elfu moja wamzomee diamond kuna mahala ameharibu ndio maana imekuwa rahisi kwa kundi kumzomea

Ni kweli kabisa mkuu jamani watu wote wale? Ni ngumuuuu
 
Kuna mtu huko facebook anasema mashabiki wa Kiba walilipwa eti na wengine walisombwa kwenye gari za UDA ili wakamzomee Ndomo, nimeishia kucheka tu.
Yaani hawa team ndomo wamechanganyikiwa si kawaida.

Wamevurugwa c kitoto
 

Kwahyo wasanii wote wakizomewa ndo wanakua wanauwawa kisanii
 
MDOGO MDOGO REMIX

Aaah Oh Nimetembe tembea adi show za Ulayani
Ila sijawai zomewa FIESTA ndo namba one
Nlitaman nishuke nlishindwaa
Zitatapakaa scandal najuaaa
Midomo ya binadam michaf sana
Tena ni wana haram hawana mana
wana wivu hooo
haoo haoo
wachonganishi haoo
haoo haoo
Sikupenda nimwone davido nae anazomewa ndo mana nkapanda jukwaan kumtetea
skupenda nimwone davido akizomewaaa utam wa collabo naee ukala kwaaangu
aha Ali kiba kanshindaje mbna ni bwana mdogo
nauliza kanshindaje uyu bwana mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…