Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond

Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond

kwanzia sasa natoa onyo mitandao hii itumike kuwasogeza mbele siyo nyooooo team kiba nyoo mara hoooooo team diamond nyoooooo komaa madogo waende international baaaas na hamtakiwi kusahau ss ndo tunatumika kuwafikiria.hao madogo cz elimu kwa wote ilipita kando
 
kwanzia sasa natoa onyo mitandao hii itumike kuwasogeza mbele siyo nyooooo team kiba nyoo mara hoooooo team diamond nyoooooo komaa madogo waende international baaaas na hamtakiwi kusahau ss ndo tunatumika kuwafikiria.hao madogo cz elimu kwa wote ilipita kando

Mkuu huu ushauri wako ungetoa kabla ya jana ingekuwa safi. Changamoto ni kitu cha kawaida pindi uelekeapo kwenye mafanikio.Kwa jana Diamond achukulie ni changamoto na hiyo changamoto aibadilishe kuwa mafanikio.
 
Jana mlipigiwa promoo hilo hapingiki na dai alijua hilo ndio maana hakua na wasiwasii teh teh

Mnavyosema kiba alipewa promo kwa hiyo unataka kuniambia clouds waliwaambia walioenda fiesta kuwa diamond akipanda stejini muanze kumzomea?
 
WanaJF sasa ni dhahiri vita ya kummaliza Diamond kisanii ni kubwa sana na peke yake hataiweza kutokana na aina ya watu wanaoiendesha,mmeshuhudia jana kilichofanyika Fiesta.Binafsi sina tatizo na Diamond mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,huyu Dogo anajitahidi,anajituma na anaiheshimu sana kazi yake kwa bahati mbaya Mungu anamuwashia

Greenlight linajitokeza kundi tena la Watanzania wenzetu bila sababu zozote za Msingi linaamua kummaliza,Diamond ni Icon ya kitaifa kimataifa hakuna faida yoyote tutakayopata kwa kumuua kisanii ila kuna faida taifa litapata kwa kumuunga mkono,Fimbo ya mnyonge ni umoja,naombeni tumsaidie huyu Bwanamdogo na nashauri Menejimenti yake iangalie mbele Promotion zifanyike TV na Radio za kimataifa zaidi kwasababu ishaonekana Local kuna hujuma.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kidoti at work
 
1. Utawasingizia bure waandaaji wa Fiesta Diamond aliharibu ile show ya ujerumani akaharibu tena UK hapa clouds ndo waliandaa show??
2. Unatakiwa ujue hakuna ufalme utaodumu milele
3. Hao mameneja wake unaosema wafocus kwenye international TV's ndio hao hao wenye local TV ndio hao hao waliondaa tamasha la jana
4. Unatakiwa uelewe nguvu ya mashabiki ni kubwa sana kuliko kawaida wakiamua kukushusha au kukupandisha
 
Siku ya kwanza kujua kua Kiba anapewa promo kwa lazima ni siku niliyoenda Taifa kwenye Tamasha la Tumaini linaloandaliwa na global.

Kwa kweli nilishangaa sana Kati ya wasanii lukuki waliokuepo hapo ila ni Kiba tu ndio alikua anatajwa Mara nyingi na ma MC

Nilishangaa sana hasa nikiangalia nyimbo za Kiba zilizohoti kwa sasa wala haziendani na promo anayopewa.

Tatizo wanaojiita wadau wa mziki bongo (japo ndio wanyonyaji wakubwa) wanapenda sana kuwatumia wasanii kwa maslai Yao, hivyo msanii unapojaribu kujitambua tu kosa wanaanza kukufanyia mizengwe.

Namshauri Diamond aende kwa Jide akaomhe ushauri jinsi ya kukabiliana na hawa makaburu wa mziki.

Fitina Bongo zipo kila sehemu kuanzi kwenye siasa, michezo hadi huku mitaani.

Kuna mdau mmoja humu amesema, wanaomshangilia Kiba wakifika kwao wanasikiliza mziki wa Domo.

Kaza mwedo Diamond huu ndio wakati wa kukomaa kimziki.
 
Mtajuwa wenyewe Na miziki yenu mshushane mpandishane is none of my business.
 
Kwa mara ya kwanza jf naona pro Diamond wamekuwa wapole kiasi hiki.

Kwa kautafiti nilikokafanya mimi mwenyewe nimeona wanamuziki weengi wanaopenda kujiingiza kwenye siasa natoa mfano ukikuta kuna mkutano chama cha ccm huwa kinapenda kuwabeba jamaaa hawa kwa kujua umaarufu wao kwa kipindi kile watu watajitokeza kwa wiiingi kuja tizama wanamuziki hao ila kwa kete zetu za siasa maji taka huwaaahadaa wananchi kwa kipindi kile kuwavutia kwa wingi kwa ajili ya hao wanamuziki.
Lakini mwisho wa siku eidha kwa tamaa ya hao wanamuziki au kwa kutojitambua hujipeleka mzobemzobe mwisho wa siku laana inawaangukia wanaanza kushuka taraatibu bila kujijua kwa vile wanashiriki kwenye siasa za maji taka ilhali wakijua wanawahadaa wananchi waliowengi ambao hawana elimu ya uraiya yaani wana umasikini wa fikra wachukue kamfano kadogo tu ka mwanamuziki lady j d hachuji kwa vile anajitambua , hana tamaa, na ndio maana yupo juu mpaka leo kama hujanielewa fanya na wewe kautati kako.
 
Mtoa mada atakuwa anafikiria kwa kutumia masaburi.. Yan mwehu gan atakayepoteza mda eti kuunganisha nguvu kumlinda diamond.. What a shtttt story.....

Itatusaidia nini then?
 
Aliwatukana wapi????

Kuna watu waliwahi kulipwa na Ali Kiba elfu 35 ili tu wakamzomee Diamond Maisha Club...

Kiba ni msanii bora kama ilivyo kwa Diamond, Diamond arekebishwe anayoambiwa

Propaganda......Kiba hana hela yakulipa watu wakazomee mtu.Ili iwe nn??huyo aliyetoa huo ushuhuda amepanic baada ya Matola kumwambia kuwa kama anahongwa elfu 30 je million si ndo atapanua miguu.

Uliona alivyojibu???
 
Last edited by a moderator:
hapo hakuna fitina wala nini ila kiba anapendwa kwa sasa na watu wamemchoka diamond japo nikweli nae anafanya mziki mzuri
 
Back
Top Bottom