Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Binamu hawa ndugu walikuwa na vurugu mpaka wanaboa humu jamvini,leo wanaomba msaada wa kuungana acha nijichekee tu.
umeona eeeu!!
wanawayawaya hao hatari ya MUNGU!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu hawa ndugu walikuwa na vurugu mpaka wanaboa humu jamvini,leo wanaomba msaada wa kuungana acha nijichekee tu.
umeona eeeu!!
wanawayawaya hao hatari ya MUNGU!!
kwanzia sasa natoa onyo mitandao hii itumike kuwasogeza mbele siyo nyooooo team kiba nyoo mara hoooooo team diamond nyoooooo komaa madogo waende international baaaas na hamtakiwi kusahau ss ndo tunatumika kuwafikiria.hao madogo cz elimu kwa wote ilipita kando
jana hamuisahau ng'ooooooooooooooooo
Jana mlipigiwa promoo hilo hapingiki na dai alijua hilo ndio maana hakua na wasiwasii teh teh
Mnavyosema kiba alipewa promo kwa hiyo unataka kuniambia clouds waliwaambia walioenda fiesta kuwa diamond akipanda stejini muanze kumzomea?
Umemuona el nino alivyokuwa mdogo huko mpaka anaanzisha threads mara mbili mara mbili na matusi kutukana leo kayasahau yote.
Jana mlipigiwa promoo hilo hapingiki na dai alijua hilo ndio maana hakua na wasiwasii teh teh
Kwani kipi kinashindikanaaaa eeee
Mnavyosema kiba alipewa promo kwa hiyo unataka kuniambia clouds waliwaambia walioenda fiesta kuwa diamond akipanda stejini muanze kumzomea?
WanaJF sasa ni dhahiri vita ya kummaliza Diamond kisanii ni kubwa sana na peke yake hataiweza kutokana na aina ya watu wanaoiendesha,mmeshuhudia jana kilichofanyika Fiesta.Binafsi sina tatizo na Diamond mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,huyu Dogo anajitahidi,anajituma na anaiheshimu sana kazi yake kwa bahati mbaya Mungu anamuwashia
Greenlight linajitokeza kundi tena la Watanzania wenzetu bila sababu zozote za Msingi linaamua kummaliza,Diamond ni Icon ya kitaifa kimataifa hakuna faida yoyote tutakayopata kwa kumuua kisanii ila kuna faida taifa litapata kwa kumuunga mkono,Fimbo ya mnyonge ni umoja,naombeni tumsaidie huyu Bwanamdogo na nashauri Menejimenti yake iangalie mbele Promotion zifanyike TV na Radio za kimataifa zaidi kwasababu ishaonekana Local kuna hujuma.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kwa mara ya kwanza jf naona pro Diamond wamekuwa wapole kiasi hiki.
Aliwatukana wapi????
Kuna watu waliwahi kulipwa na Ali Kiba elfu 35 ili tu wakamzomee Diamond Maisha Club...
Kiba ni msanii bora kama ilivyo kwa Diamond, Diamond arekebishwe anayoambiwa