Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond

Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond

sawa hata mwaka mmoja nyuma p square walikuwa top Nigeria ila sasa hivi ni Davido
Maisha ndivyo yalivyo kama ukiwadharau waliokupandisha na kukushusha itakuwa rahisi
kubomoa ni rahisi kuliko kujenga
hawezi kusema mbeya hakuna hotel ya hadhi yake wakati miaka mitano nyuma alikuwa akiishi tandale
yuko wapi Mr nice ? Huyu ndie aliringa kupanda jukwaani akiwa back stage na chameleon akapanda akaimba
Hakuna wa kudumu milele ingekuwa yupo maisha yangeboa sana

Kujitambua na kutambua hadhi yako ni muhimu sana ndo wabunge walisema maisha dodoma ghali wakalipwa 300000 wakati watumishi wengi ndo mshahara wao mwisho wa mwezi
 
Diamond.... Very simple.. Kama anajiamin afanye tu kama jidw

kwamba clouds ndo walioweka zengwe

ni hv waambie clouds kuanzia leo waspige nyimbo zako

FULL STOP
 
Propaganda......Kiba hana hela yakulipa watu wakazomee mtu.Ili iwe nn??huyo aliyetoa huo ushuhuda amepanic baada ya Matola kumwambia kuwa kama anahongwa elfu 30 je million si ndo atapanua miguu.

Uliona alivyojibu???

Usitafune maneno nilisema atapanuwa miguu apigwe boro kwa kujirahisisha kupita kiasi.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu huko facebook anasema mashabiki wa Kiba walilipwa eti na wengine walisombwa kwenye gari za UDA ili wakamzomee Ndomo, nimeishia kucheka tu.
Yaani hawa team ndomo wamechanganyikiwa si kawaida.
 
Wangeweza wangemgaragaza Lady JD kwanza.

Namshauri Diamond aonane na Lady JD haraka iwezekanavyo apate maujanja.

Wasanii wanaosikika kwa sasa wangemfuata Lady JD uwezekano wa kupotea ni mdogo,ila wakija kumfuata baada ya kupotea ngumu kusikika,mtu kama Diamond angemfuata Lady JD sasa wakati anahit hawezi kupotea
 
Kujitambua na kutambua hadhi yako ni muhimu sana ndo wabunge walisema maisha dodoma ghali wakalipwa 300000 wakati watumishi wengi ndo mshahara wao mwisho wa mwezi

Mwehu tu huyo diamond ye anamilik hotel gan
 
Kwa kautafiti nilikokafanya mimi mwenyewe nimeona wanamuziki weengi wanaopenda kujiingiza kwenye siasa natoa mfano ukikuta kuna mkutano chama cha ccm huwa kinapenda kuwabeba jamaaa hawa kwa kujua umaarufu wao kwa kipindi kile watu watajitokeza kwa wiiingi kuja tizama wanamuziki hao ila kwa kete zetu za siasa maji taka huwaaahadaa wananchi kwa kipindi kile kuwavutia kwa wingi kwa ajili ya hao wanamuziki.
Lakini mwisho wa siku eidha kwa tamaa ya hao wanamuziki au kwa kutojitambua hujipeleka mzobemzobe mwisho wa siku laana inawaangukia wanaanza kushuka taraatibu bila kujijua kwa vile wanashiriki kwenye siasa za maji taka ilhali wakijua wanawahadaa wananchi waliowengi ambao hawana elimu ya uraiya yaani wana umasikini wa fikra wachukue kamfano kadogo tu ka mwanamuziki lady j d hachuji kwa vile anajitambua , hana tamaa, na ndio maana yupo juu mpaka leo kama hujanielewa fanya na wewe achakuchanganya mziki na siasa
 
yote ni dharau, ni mtt wa tandele iv ni kweli kabisa kwamb mbeya hakuna hotel ya kulala yy! usithubu2 kufka pande ile watamnyonya kimba
 
....dharau zinamkosti hii ndio bongo yatamkuta ya Mr nice


kweli aisee mimi home mbeya kwa ile kauli namuona pimbi sana mbona watu kama AY washafanya collabo hadi na kina romeo but still hawana makuu? diamond kaka yangu acha dharau mashabiki ndo tuliokufikisha hapo!
 
Back
Top Bottom