Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,849
- 2,739
Huyo Ali Kiba anaimba taarabu au mchiriku?
Utaipenda tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Ali Kiba anaimba taarabu au mchiriku?
Kwa mara ya kwanza jf naona pro Diamond wamekuwa wapole kiasi hiki.
Hivi Diamond alilazimishwa kutumbuiza Jana???...
Kama alihisi kuna hujuma kulikuwa na ulazima gani wa yeye kurudi kuimba na Davido??..
Na kama sikosei (I stand to be corrected) ilishatolewa taarifa hapa kwamba Ruge Mutahaba(ambaye ni muandaaji mkuu wa FIESTA) ni mmojawapo wa mameneja wa Diamond, pamoja na Babu Tale na Said Fella...
Mbona watu hamkuunganisha nguvu kumsaidia Lady Jay Dee alivokuwa akifanyiwa unyama na hao Clouds FM kwa mgongo wa Mwana FA???...
Binafsi nakushangaa sana mianzisha thread unaposema Diamond ni icon wa muziki wa Tanzania wakati kuna akina Omary Naliene, Dulla na wenzake kupitia Tatunane , Remmy Ongalla(pamoja na Ukongomani wake), Dk. Hukwe Zawose na wengine walioliletea sifa kubwa sana taifa hili pasipo msaada wa mtandao wala hao wanaoitwa Mameneja..
Alii Kiba kumbe ni mwanamuziki? Ndio namsikia leo
Kama hiyo ndo hujuma, kuna mtu/kundi la watu liliendesha kampeni kuwa azomewe? Na kama cloud ya watu ilizomea, yeye hawezi kuona sehemu fulani kalegea?
Anyway, katika issue yoyote ile, ups and downs zipo sana tu!
HUU HAPA UTHIBITISHO.Mali ni nyingi nyumbani, kipi kimekukimbiza,Hapa Alikiba, anamwambia Diamond, nyumbani ( SHAROBARO RECORDS) kuna kila kitu, beats kali, management nzuri and all that, kitu gani kilimkimbiza SHAROBARO RECORDS?Ona babio mamio wote wanakulilia,HAPA ALIKIBA ANAMAANISHA, SHAROBARO RECORDS, WAKIONGOZWA NA BOB JUNIOR, WOTE WANAMLALAMIKIA DIAMOND KWA KITENDO CHAKE CHA KUKIMBIA KUFANYA KAZI SHAROBARO. (BOB JUNIOR ALIPIGA KELELE SANA DIAMOND ALIPOKIMBIA SHAROBARO RECORDS )Mtoto pekee ako nyumbani, kipi kimekukimbiza,HAPA ALIKIBA ANASEMA, DIAMOND ALIKUWA NDO ARTIST PEKEE MKALI ALIYEKUWA CHINI YA SHAROBARO RECORDS. HAKUKUWA NA UPINZANI WOWOTE NDANI YA SHAROBARO, KITU GANI KILIMFANYA AONDOKE ?Ona babio mamio wote wanakuliliaNdani ya Dar es salame ulikuja bureHAPA ALIKIBA ANAMKUMBUSHA DIAMOND, KUWA SIKU ALIPOKWENDA SHAROBARO RECORDS KWA MARA YA KWANZA, HAKUWA NA HATA SENTI TANO NA ALIREKODIWA WIMBO WAKE BURE KABISA.NENO DAR ES SALAME, LIMETUMIKA KUMAANISHA SHAROBARO RECORDS AU MUSIC INDUSTRY.(KAMA ULIKUKUWA HUJUI, ALIKIBA NI MMOJA KATI YA WANAHISA WA SHAROBARO RECORDS, NA NDIO ALITOA IDHINI KWA BOB JUNIOR, AREKODI BURE WIMBO WA DIAMOND. ILIKUWA HIVI DIAMOND ALIENDA KWA BOB JUNIOR NA KUMWAMBIA ANA WIMBO WAKE ANAOMBA UREKODIWE LAKINI HANA UWEZO WA KIFEDHA, BOB JUNIOR AKAOMBA KUMSIKILIZA, ALIPOMSIKILIZA AKAGUNDUA KIPAJI CHA DOGO, BUT HAKUWA NA MAMLAKA YA KUREKODI WIMBO HUO BURE BILA IDHINI YA BOSS, ALIKIBA, SO IKABIDI AENDE KWANZA KUOMBA IDHINI KWA ALIKIBA, ALIKIBA AKAMWAMBIA BOB JUNIOR KAMA DOGO ANAJUA KUIMBA VIZURI, MREKODIE TU, HAKUNA SHIDA. ALIKIBA ALIYASEMA HAYA AKIWA ANAYAFANYA MAHOJIANO KWENYE KIPINDI CHA MKASI HIVI KARIBUNI.Tena kimwana, kimwana hujui kuchuna WAKATI DIAMOND, ANAENDA KUOMBA KUREKODI KWA BOB JUNIOR, ALIKUWA TAYARI KUFANYA SHOW ZAKE HATA BURE ILIMRADI TU AWEZE KUJITANGAZA..DIAMOND ALIWAHI KUMUOMBA ALIKIBA, APANDE NAYE KWENYE SHOW YA ALIKIBA, BILA MALIPO YOYOTE ILI WATU WAMUONE AKIWA NA ALI KIBA. SO ALIKIBA AMETUMIA NENO KIMWANA ASIYE JUA KUCHUNA AKIMAANISHA MSANII UNDERGROUND ALIYE TAYARI KUIMBA HATA BILA MALIPO.Na zile lawama za wale walokuzoeza,HAPA ALIKIBA ANAZUNGUMZIA LAWAMA ZA MADEMU WANAO TOSWA NA DIAMONDUlikuja jana na leo tofauti sana.HAPA ALIKIBA ANAZUNGUMZIA NAMNA AMBAVYO DIAMOND AMEBADILIKA KITABIA BAADA YA KUPATA MAFANIKIO KIMUZIKI.Tena bora Yule wa jana, wa leo tofauti sana,HAPA ALIKIBA ANAWAZUNGUMZIA WEMA SEPETU NA PENNY, ANASEMA BORA HATA PENNY KULIKO WEMA AMBAYE NDIO YUPO NA DIAMOND KWA SASADakika mbili mbele nyuma, kichwa kinaumaHAPA ALIKIBA ANAZUNGUMZIA TABIA TABIA ZA WEMA SEPETU. MKOROFI(DAKIKA MBILI MBELE NYUMA), NA MWINGI WA HABARI, AMA PASUA KICHWA ( KICHWA KINAUMA) AMA KICHECHE.Tena bora Yule wa jana, wa jana leo wa jana,HAPA ALIKIBA ANASISITIZA ANACHO KIMAANISHA, KWAMBA ANAMZUNGUMZIA WEMA, tena bora yule wa jana, wa jana leo wa jana YANI YULE AMBAYE UPO NAE LEO, NA AMBAYE ULIWAHI KUWA NAE ZAMANI. NI WA JANA, UPO NAE LEO, LAKINI ULIWAHI KUWA NAYE JANA. HUYO NI WEMA SEPETU, ALIWAHI KUWA NA DIAMOND, WAKAACHANA, WAMERUDIANA TENA. ( WAJANA LEO WA JANA = WEMA SEPETU )Dakika mbili mbele nyuma, kichwa kinaumaHAPA ALIKIBA ANAKUTOLEA UFAFANUZI ZAIDI KWAMBA, HUYU WA JANA LEO WA JANA SI MWINGINE ILA NI WEMA SEPETU. ANAFANYA HIVYO KWA KUELEZEA TABIA YA WEMA SEPETU AMBAZO NI UKOROFI (DAKIKA MBILI MBELE NYUMA ), NA UKICHECHE A.K.A PASUA KICHWA (KICHWA KINAUMA)..KAMA UMESAHAU WEMA SEPETU ALIWAHI KUMTUKANA BOB JUNIOR MATUSI YA NGUONI, KESI IKAENDA MAHAKAMANI..UNAKUMBUKA HIYO?Oyayee , mbona unawatesa sana,HAPA ALIKIBA ANAMWAMBIA DIAMOND MBONA UNAWATESA SANA HAO WASICHANA UNAO WABADILISHA BADILISHA ?Omamee, omame oya mame, omame oya mameeMbona unajitesa sanaHAPA ALIKIBA ANAMWAMBIA DIAMOND WHAT GOES AROUND COMES AROUND. ANAVYO WATESA HAO WSICHANA, NI SAWA NA KUJITESA MWENYEWE TU. UKICHECHE WA DIAMOND UNAMTESA KIASI CHA KUMFANYA ASHINDWE KUJUA AMPENDE NANI KATIKA MAISHA YAKE, KWA SABABU WANAWAKE KARIBU WOTE ANAO TOKA WANAKUWA NA KASORO ZISIZO VUMILIKA.Omamee, oya mame, omame oya mameeUkaanza kulewa , madawa kuvuta kwa sana.HAPA ALIKIBA ANATHIBITISHA NAMNA AMBAVYO HALI YA KUWATE.
diamond katolewa ki muziki na ali kiba na bob junior baadae akaanza kuwatukana..
abadilike
Angeendelea nao asingefika hapo alipo.....wana roho za kimasikini kama za mashabiki wao waliozomeaa...!
Huyo Kiba ndo wa kwanza kupata exposure, alifanya nini cha maana zaidi ya kunata mitaani? Sasa hivi kafulia ndo anapandishwa kwa huruma ya mashabiki...ila sio ubunifu...ooh ana sauti, sauti hata kasuku anayo...
Tunataka kumuona akijituma na tuone ubunifu katika kazi zake...la sivyo ataendelea kuwa msanii wa fiesta tuu huku wenzake wana make money...
Na bado Diamond atawanyima raha sana na roho zenu za korosho.....
Mi Naamini Daimond hua hakati tamaa na alijua kabisa kinachochezwaa, Dai songaaaaaa mwaego na hiyo ni hasira ya wewe kuongeza juhudi
Ally kiba kabebwaaa nae tuone juhudi zake sasa ushindani umeanza rasmiiiii
binamu like zako milioni
kumbe wanajua maana ya neno hekma
jana kweli ALLY KAMFANYA MTU MBAYAAAAAAA
Heheehee wanamchukia kisa kahonga gari...sijui walitaka wahongwe waooo...
Sasa mtu una sura ngumu kama ngozi ya futi unaona wivu mwenzio kahongwa gari...hata mkichukia mtaendelea kuhongana miswaki...
Niliyemchefua ndimu zipooo...
Haters ndo watamuweka juuu juu zaidi, mafanikio hayapimwi kwa kelelee..!
kweli kaka ukiangalia hata walivyopanda fety na b12 walikuwa wanambeba zaidi kibaWanaJF sasa ni dhahiri vita ya kummaliza Diamond kisanii ni kubwa sana na peke yake hataiweza kutokana na aina ya watu wanaoiendesha,mmeshuhudia jana kilichofanyika Fiesta.Binafsi sina tatizo na Diamond mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,huyu Dogo anajitahidi,anajituma na anaiheshimu sana kazi yake kwa bahati mbaya Mungu anamuwashia
Greenlight linajitokeza kundi tena la Watanzania wenzetu bila sababu zozote za Msingi linaamua kummaliza,Diamond ni Icon ya kitaifa kimataifa hakuna faida yoyote tutakayopata kwa kumuua kisanii ila kuna faida taifa litapata kwa kumuunga mkono,Fimbo ya mnyonge ni umoja,naombeni tumsaidie huyu Bwanamdogo na nashauri Menejimenti yake iangalie mbele Promotion zifanyike TV na Radio za kimataifa zaidi kwasababu ishaonekana Local kuna hujuma.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Subiri tuone matokeooo nani zaidiii dai na aly k, tusiandikie mate na wino upoooooooooooo