Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond

Ujikwaapo pindi utembeapo inakupasa unyanyuke, jifute na uendelee na safari.Ukitafuta aliyekuwekea jiwe lililokufanya ujikwae utachelewa safari na pengine hautajua aliyeweka (mawe mengine yapo asilia)
 
Uwe unarudia kusoma kabla ya kupost unasema.....bahati mbaya Mungu anamuwashia greenlight.... au ndio ule usemi wa "kinywa huyanena yale yaujazayo moyo?"

Ume ona hapo tu pakukosoa ujumbe huja uelewa?
 
msanii wa kwanza tanzania kuimba na kukaa pamoja na R.KELLY

Ukisema msanii wa kwanza maana yake kuna wa pili wa tatu wa nne na kuendelea........

Ulipaswa uandike Ally Kiba ndio msanii pekee kutoka Tanzania kuimba na R Kelly na hata kwenye phonebook ya Kelly na Kiba yumo.
 
hahaaaaaahaaass
umeua bendiiii
 
Ukisema msanii wa kwanza maana yake kuna wa pili wa tatu wa nne na kuendelea........

Ulipaswa uandike Ally Kiba ndio msanii pekee kutoka Tanzania kuimba na R Kelly na hata kwenye phonebook ya Kelly na Kiba yumo.

hahaaa
msanii pekee aliyeimba na R.KELY na kuimba nae
 
Utakuwa unajifunza kutoa hoja; huwezi kuanza kulalamika pasipo kutoa kisa na mkasa au unadhani wote tulikuwepo fiesta😊
 
Ume ona hapo tu pakukosoa ujumbe huja uelewa?

Wewe ndio hujanielewa maana mimi sijasema sijauelewa ujumbe bali nimemwelekeza kuproofread vinginevyo kuna contradiction na ndio maana naamini hakujibu kama wewe ulivojaribu kucomment kuonesha kaelewa
 
Diamond ni msanii mzur sikatai...!!
Anaimba nyimbo mzur sawa...!!
Anajulikna na kila m2, Inapendeza...!!!!
Anaitangaza nchi yetu vzr, mpka raha jaman...!!!
Lkn sijui kwa nn simkubali... Ila napenda kazi anayofanya kimziki....!!!!
 
diamond kwisha habari yake akaendeleze kamchezo kake na chief kiumbe
 
ahsante ndugu ,japo kwa upande wangu majukumu ndiyo yamekuwa mengi kadri anavyozidi kuwa msanii mkubwa ndio maana humu siingii
 
ahsante ndugu ,japo kwa upande wangu majukumu ndiyo yamekuwa mengi kadri anavyozidi kuwa msanii mkubwa ndio maana humu siingii
Wee huingii wapi na una Identity names zaid ya moja,stop making excuses fanyeni kazi yenuu sio kupiga mipicha ya kizombie tu,ina maan huyu ni msanii mkubwa kuliko chameleon!Na unaposema anazidi kuwa msanii mkubwa unamaanisha nini?anazidi kurefuka au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…