Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond

Wanyonge tuunganishe nguvu kumuokoa Diamond

Ujikwaapo pindi utembeapo inakupasa unyanyuke, jifute na uendelee na safari.Ukitafuta aliyekuwekea jiwe lililokufanya ujikwae utachelewa safari na pengine hautajua aliyeweka (mawe mengine yapo asilia)
 
Uwe unarudia kusoma kabla ya kupost unasema.....bahati mbaya Mungu anamuwashia greenlight.... au ndio ule usemi wa "kinywa huyanena yale yaujazayo moyo?"

Ume ona hapo tu pakukosoa ujumbe huja uelewa?
 
msanii wa kwanza tanzania kuimba na kukaa pamoja na R.KELLY

Ukisema msanii wa kwanza maana yake kuna wa pili wa tatu wa nne na kuendelea........

Ulipaswa uandike Ally Kiba ndio msanii pekee kutoka Tanzania kuimba na R Kelly na hata kwenye phonebook ya Kelly na Kiba yumo.
 
MDOGO MDOGO REMIX

Aaah Oh Nimetembe tembea adi show za Ulayani
Ila sijawai zomewa FIESTA ndo namba one
Nlitaman nishuke nlishindwaa
Zitatapakaa scandal najuaaa
Midomo ya binadam michaf sana
Tena ni wana haram hawana mana
wana wivu hooo
haoo haoo
wachonganishi haoo
haoo haoo
Sikupenda nimwone davido nae anazomewa ndo mana nkapanda jukwaan kumtetea
skupenda nimwone davido akizomewaaa utam wa collabo naee ukala kwaaangu
aha Ali kiba kanshindaje mbna ni bwana mdogo
nauliza kanshindaje uyu bwana mdogo

hahaaaaaahaaass
umeua bendiiii
 
Ukisema msanii wa kwanza maana yake kuna wa pili wa tatu wa nne na kuendelea........

Ulipaswa uandike Ally Kiba ndio msanii pekee kutoka Tanzania kuimba na R Kelly na hata kwenye phonebook ya Kelly na Kiba yumo.

hahaaa
msanii pekee aliyeimba na R.KELY na kuimba nae
 
WanaJF sasa ni dhahiri vita ya kummaliza Diamond kisanii ni kubwa sana na peke yake hataiweza kutokana na aina ya watu wanaoiendesha,mmeshuhudia jana kilichofanyika Fiesta.Binafsi sina tatizo na Diamond mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,huyu Dogo anajitahidi,anajituma na anaiheshimu sana kazi yake kwa bahati mbaya Mungu anamuwashia

Greenlight linajitokeza kundi tena la Watanzania wenzetu bila sababu zozote za Msingi linaamua kummaliza,Diamond ni Icon ya kitaifa kimataifa hakuna faida yoyote tutakayopata kwa kumuua kisanii ila kuna faida taifa litapata kwa kumuunga mkono,Fimbo ya mnyonge ni umoja,naombeni tumsaidie huyu Bwanamdogo na nashauri Menejimenti yake iangalie mbele Promotion zifanyike TV na Radio za kimataifa zaidi kwasababu ishaonekana Local kuna hujuma.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Utakuwa unajifunza kutoa hoja; huwezi kuanza kulalamika pasipo kutoa kisa na mkasa au unadhani wote tulikuwepo fiesta😊
 
Ume ona hapo tu pakukosoa ujumbe huja uelewa?

Wewe ndio hujanielewa maana mimi sijasema sijauelewa ujumbe bali nimemwelekeza kuproofread vinginevyo kuna contradiction na ndio maana naamini hakujibu kama wewe ulivojaribu kucomment kuonesha kaelewa
 
Diamond ni msanii mzur sikatai...!!
Anaimba nyimbo mzur sawa...!!
Anajulikna na kila m2, Inapendeza...!!!!
Anaitangaza nchi yetu vzr, mpka raha jaman...!!!
Lkn sijui kwa nn simkubali... Ila napenda kazi anayofanya kimziki....!!!!
 
diamond kwisha habari yake akaendeleze kamchezo kake na chief kiumbe
 
menejiment yake iangalie upya jinsi yeye almasi anabyofanya kazi zake. Wakuinua kazi zake ni menejiment yake na wao ndio wanaweza kumuangusha.

Kuna vitu mtu anaongea vinaweza kuathiri utendaji wa kazi zake, hasa hawa masupastaa na wanasiasa. Ndio maana wengi huajiri watu wa kuangalia mienendo yao hasa kwenye mitandao ya kijamii., mahojiano na waandishi wa habari na majibizano na wasanii wenzake ambayo kwa hakika hayana tija kwenye kazi zake. Awe na watu wanaomskrutini na kumkanya yapi aseme na yapi asiseme au kujibizana na mtu. Bahati mbaya mimi sio shabiki wa mziki, hata ukiniuliza ana nyimbo ngapi mwaka huu sina weledi, lakini mtukama almasi ni kioo cha tanzania na hatuna budi kuinua kipaji chake na kumpa sapoti. Haijalishi wewe ni shabiki wake ama la. Kuna yule dogo alikuwa akija sana jf heaven on desert, huu ndo wakati wa kufanya kazi ili kuhakikisha chati ya almasi inabaki juu. Tatizo letu watanzania ni wivu. Tunataka wote tuwe masikini.

ahsante ndugu ,japo kwa upande wangu majukumu ndiyo yamekuwa mengi kadri anavyozidi kuwa msanii mkubwa ndio maana humu siingii
 
ahsante ndugu ,japo kwa upande wangu majukumu ndiyo yamekuwa mengi kadri anavyozidi kuwa msanii mkubwa ndio maana humu siingii
Wee huingii wapi na una Identity names zaid ya moja,stop making excuses fanyeni kazi yenuu sio kupiga mipicha ya kizombie tu,ina maan huyu ni msanii mkubwa kuliko chameleon!Na unaposema anazidi kuwa msanii mkubwa unamaanisha nini?anazidi kurefuka au?
 
Back
Top Bottom