Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?

....meenda nunua Cement leo mfuko ni TZS 15,000....
 
Ngoja ni renew pass yangu mapema kabla vikwazo havijaanza tunapoelekea itakuwa ngumu kupata pass kwa sababu uhitaji utaongezeka na vikwazo pia vitaongezwa hakuna future tena hapa
 
Haujaona mchanganuo wa mikoa au unadhani wote wanaishi dar?
Kumbe ni price range ndio iliyopo na sio price moja sivyo? Sasa kwanini achague 35,000/= badala ya 14,000/= kwa mfano? Kwani wote tunaishi huko inakouzwa bei hiyo?
 
Tutanyoka nakuambia
 
Kuna mambo ya kijinga trademark yake huwa made in tz only. Kwa sababu huwezi yapata kwingine kokote
 
Wamemlimit kuzalisha cement.
Yaani asizalishe cement kuliko wenzake.
Na pia kuna mikoa wamemkataza asiuze.
Kipindi Cha dangote cement ilikuwa inauzwa 8,000..
Na twiga alikuwa anapotea mazima.
Na hapa bado huu mwanzo tu..
Na itapotea KABISA.
Alifungiwa kwa kosa gani?
 
Soon tutaanza kubeba rambo zilizojaa minoti kwenda kununulia visheti!

Chezea Tanzimbabwe wewe!
 
Ninachofurahi sijaona comment kuwa Mbowe kasababisha , bali wenye viwanda wanahujumu serikali...

Ngoja joto liongezekeze tutasingizia hadi maiti.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Arusha tangu treni ianze kwenda zipo bwelele na bei ni sawa na Bure 8500, njoni mnunue.
 
Magufuli mwenyewe si kasema hataki kuongeza muhula?

Hawa wabunge hawaheshimu matakwa ya rais na mwenyekiti wao?
 
Hakuna kujenga kwanza, taifa linasimama kwa muda bila ujenzi kwanza, moment of silent
 
Wamemlimit kuzalisha cement.
Yaani asizalishe cement kuliko wenzake.
Na pia kuna mikoa wamemkataza asiuze.
Kipindi Cha dangote cement ilikuwa inauzwa 8,000..
Na twiga alikuwa anapotea mazima.
Na hapa bado huu mwanzo tu..
Na itapotea KABISA.
Sheria inaruhusu hayo? I mean hayo masharti yapo kisheria? Na kama yapo kisheria yanatekelezwa kwa wazalishaji wote? Isije kua mtu anataka azalishe nyingi bei ishuke halafu wenzake wote wakifa abaki peke yake auze kwa bei anayotaka yeye, so lazima tuangalia kwa pande zote za shilingi
 
Ok basi acha wazalishe cement ndogo ili BEI IPANDE[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Tutembee kifua mbere.Si tumeamua nchi nzima iwe kijani????? Mabeberu tumeyashinda wasi wasi wa nini? Tuendelee kushangilia ushindi wa "lushindo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…