Wanywa soda Bar wengi wambea

Mbona soda zipo dukani? Unaenda baa kufanya nini au kutafuta bwana? Halafu kuna wale omba omba wa bia kwenye baa. Mtu anamkuta mwenzake anajipongeza baada ya mizunguko yake mchana kutwa halafu anamwambia amnunulie bia. Kama huna pesa ya kujinunulia bia unaenda baa kufanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…