Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hakuna mahusiano kati ya kunywa ama kutokunywa soda na kwenda Bar.Kwa ajili ya wambea mkuu
Wanywa Pombe hutafuta njia za kuhalalisha madudu Yao.
Waulize watu wa kitengo kuwa kati ya mnywa Pombe na asiyekunywa yupi kwao ni Asset?