Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hakuna mahusiano kati ya kunywa ama kutokunywa soda na kwenda Bar.Kwa ajili ya wambea mkuu
Iiiiiiihunakunya soda
Na sisi wanywa juisi je?
Nyie ndo mnaleza nzi BarNa sisi wanywa juisi je?
View attachment 3239385
Kina sisi haoNa kuna wale wanaokunywa maji lita la kwnz linaisha anaongeza la pili utasema anafuga samaki tumboni.
Mbna kuna maduka pia wanauza vilevi, kwanini wasinunue madukani, na sio huko Bar?Kinachowapeleka huko baa ni nini? Soda zipo dukani. Inanibidi niamini ni "umbea".
Duuuh Soda zimekua za Mashoga tena? DoohNdomana Bar yoyote nikikuta wanywa soda sikai. Soda na ushoga ni hiviii.
😂😂😂Mko na shida nyie mnatoka home mnaenda bar kunywa maji kweli tena lita zakutosha.Kina sisi hao
Mara moja moja sio mbaya, jamaa zangu huwa wananimind sana na kusema si bora ungekunywa tu maji ya bafuni home ila wakizima mimi ndio salama yao.😂😂😂Mko na shida nyie mnatoka home mnaenda bar kunywa maji kweli tena lita zakutosha.