[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sawa mkuu, ila usikwepeshe hilo, hebu tazama meza za walevi na za wanywa soda uone tofauti, walevi utakuta wameagiza manyama choma, michemsho, supu, wali samaki, makongoro, ugali nyama, ugali samaki, ugali mbuzi yani kwa ufupi wanywa soda mna problem za kiuchumi mzikabili tuHapana mkuu, nyama choma tunakula kama wengine, makange, vuruga nk tuko vizuri kiuchumi, ila tu hatupendi vitu vichungu.
Mtu unaanzaje kunywa mavitu machungu kama mabia, konyagi nk wakati kuna vitu vitam kama fanta pinaple, coke, nk?
Tatizo lenu mkitolewa out au mkipigwa offer mnaagiza vinywaji vinavozidi bei ya balimi yan unaagiza azam juice box,grandmalt,redbluee sijui ni nini n.k ungekuwa unakunywa maji ya mende hapo sawa
Yaani kwanza umenikumbusha ngoja nikapige fanta baridi sana mda huu
[emoji23][emoji23][emoji23]sasa kipi bora anae kunywa box moja la azam juice au ceres au anaekunywa serengeti lite 5 au 6
Nawajua hawa wanywa soda,kila kinywaji hatakunywa na misosi wakati wanywa bia mambo ya misosi ni mwiko
Sasa mnataka tunywe soda moja jero sijui buku wakati nyie mwatumia zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]haiwekezani aisee
Nyie wenyewe mnalewa mpaka mnajisahau, madem zenu wanaanza kutushobokea na kusema wanajuta kwanini walikutana na nyie heri wangepata watu kama sisi πππWapuuzi sana ninyi wanywa soda.Mnavizia tukilewa mtongoze mademu wetu.Kenge ninyi.Na mnatufahamu tulivyo wakorofi mtachezea vitasa tu.ππππ
[emoji23][emoji23][emoji23] Kweli Kabisaa.. Mara nyingi hutokea hasa kwa wale wazee wa KonyagiNyie wenyewe mnalewa mpaka mnajisahau, madem zenu wanaanza kutushobokea na kusema wanajuta kwanini walikutana na nyie heri wangepata watu kama sisi [emoji38][emoji38][emoji38]
Wanywa soda hata kunywa grandmalt baada ya hapo sijui nipe redbluee sijui nataka juice mara maji madogo kula sasa kama wamechanjiwa nyie mjamaliza kreti yeye kaagiza chipsi mshikaki,mala kuku mkavu.
Kwa wanywa pombe msosi ni mmoja kama nyama choma inaliwa kwa wakati,kama mitungi basi pombe kali inawekwa kwati,wanao kunywa bia wote bei mmoja
Mnajidai hamgongi vitu Ila macho juujuu kama chupa ya togwa.Tabia zenu zinatushindaπππππNyie wenyewe mnalewa mpaka mnajisahau, madem zenu wanaanza kutushobokea na kusema wanajuta kwanini walikutana na nyie heri wangepata watu kama sisi πππ