Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sawa mkuu, ila usikwepeshe hilo, hebu tazama meza za walevi na za wanywa soda uone tofauti, walevi utakuta wameagiza manyama choma, michemsho, supu, wali samaki, makongoro, ugali nyama, ugali samaki, ugali mbuzi yani kwa ufupi wanywa soda mna problem za kiuchumi mzikabili tuHapana mkuu, nyama choma tunakula kama wengine, makange, vuruga nk tuko vizuri kiuchumi, ila tu hatupendi vitu vichungu.