Wanywa soda tuheshimike

Mnaokunywa soda bar ndio mnapelekaga umbea nyumbani na mtaani.
 
Mtu unaanzaje kunywa mavitu machungu kama mabia, konyagi nk wakati kuna vitu vitam kama fanta pinaple, coke, nk?
Ukinywa hayo unayoyaita machungu, ulimwengu unakuwa tofauti mzee baba!

Mademu wote hapo bar unakuwa unawaona kwa jicho la tatu, very beautiful!
 
swala
Swala la kuambiwa hatunywi pombe tuna starehe nyingine kwakweli wanatuonea
 
Wahudumu pia hawatupi glass Kama wanywa bia. Eti inajulikana soda inapigwa tarumbeta tu.
 
Swala la kuambiwa hatunywi pombe tuna starehe nyingine kwakweli wanatuonea
Eti wanasema sisi tusiokunywa pombe tunapenda chini sana. Wakati pombe ukiinywa tu kitu cha kwanza inakushawishi kutafuta mwanamke..!😂[/QUOTE]
 
Mkuu hua tunateseka sana. Halafu bado ukimfikisha mtu nyumbani, mkewe anaanza kukulaumu wewe kwamba inakuaje umekaa na mwenzio mpaka amelewa kiasi hiki mbona wewe hujalewa? Sisi tena ndio tunaonekana wabaya. Nasema enough is enough!
hahahaa
 
Kwa kweli watuheshimu jamani, kuna siku kuna jamaa aliniomba nimsindikize gal wake club kwa kua me nakunywa soda tu kwahiyo ye akilewa atakua salama [emoji23][emoji23][emoji23]

Wanywa soda tuheshimiwe jamani
Jamani kumbe wanawaonea hivyo

Tema mate ptuuh !! Tuwachape walevi
 
Wanywa Soda wanaongoza pia kwa USHIRIKINA mahala pa KAZI...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…