Wanywaji wa Maji ni Maji Gani!? Yana radha nzuri kwa mwaka 2024

Wanywaji wa Maji ni Maji Gani!? Yana radha nzuri kwa mwaka 2024

Bakalalwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
748
Reaction score
1,217
20241217_211438.jpg
20241217_211435.jpg
20241217_211431.jpg
20241217_211427.jpg
Mimi Kilimanjaro miaka na miaka 😁 tililika na wewe mwanawane😉
 
Uhai Maji Ya Kwenye Radiator(Rejeta),,,Udizungwa(Sijui Yalipotelea Wapi) Na Dew drop Ndio Maji Ya Kunywa Kwa Mwana Wa Adam
 
the best since day one KILIMANJARO DRINKING WATER

unavyokunywa tazama ile logo yao blue Kilimanjaro mountain so amazing
 
Back
Top Bottom