Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Ngoja nifanye uchunguziUhai Maji Ya Kwenye Radiator(Rejeta),,,Udizungwa(Sijui Yalipotelea Wapi) Na Dew drop Ndio Maji Ya Kunywa Kwa Mwana Wa Adam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nifanye uchunguziUhai Maji Ya Kwenye Radiator(Rejeta),,,Udizungwa(Sijui Yalipotelea Wapi) Na Dew drop Ndio Maji Ya Kunywa Kwa Mwana Wa Adam
Shirima umejikaza ....najua umeona aibu kutaja mi Don Nyati + Amstel.Uhai
Dew drop
GSM
Raza hivi ni ninimaana yake?Ama ni neno la promo?View attachment 3179057View attachment 3179058View attachment 3179059View attachment 3179061 Mimi Kilimanjaro miaka na miaka 😁 tililika na wewe mwanawane😉
Shindwaaaaaaaaaaaaa! Nakunywa maji tu mpaka kieleweke, sema tuangalie Christmas itakujaje 😁shangaa nkatembeza kreti mwenyeweShirima umejikaza ....najua umeona aibu kutaja mi Don Nyati + Amstel.
Shindwaaaaaaaaaaaaa! Nakunywa maji tu mpaka kieleweke, sema tuangalie Christmas itakujaje 😁shangaa nkatembeza kreti mwenyewe
Hii tunasema ' weka shida chini'
Hatari sana. Kigezo cha maji yapi ni mazuri kwa afya ni "composition "dew drop waliniteka na kifungashio chake
Cool blue yamepitishwa kimataifa na hutumika kwenye balozi nyingi hapa nchini eg US Embassy.Maji Bora na ambayo yamesisitizwa na TBS kuwa salama Kwa afya ni Jambo pekee.Mengine yanamapungufu
Bila kuweka JAMKAYA/JAMBO uzi wako ni batiliView attachment 3179057View attachment 3179058View attachment 3179059View attachment 3179061 Mimi Kilimanjaro miaka na miaka 😁 tililika na wewe mwanawane😉