Wanywaji wa Maji ni Maji Gani!? Yana radha nzuri kwa mwaka 2024

Buyegi vipi wadau. Haya maji yanaendeleaje? Ni maji ya Iringa
 
Nyie mnaosifia Maji ya UHAI,
Siku ukizama kwenge maji Ndio utajua maji sio UHAI ni kifo.
 
Maji Bora na ambayo yamesisitizwa na TBS kuwa salama Kwa afya ni Jambo pekee.Mengine yanamapungufu
 
Maji Bora na ambayo yamesisitizwa na TBS kuwa salama Kwa afya ni Jambo pekee.Mengine yanamapungufu
Cool blue yamepitishwa kimataifa na hutumika kwenye balozi nyingi hapa nchini eg US Embassy.
 
Mimi hua nachemsha zangu natia kwenye kopo la Uhai, ninaonekana na mimi nimo!

Infact sipendelei maji ya viwandani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…