TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
Kama ni mnywaji wa hard liquor inabidi uwe makini sana.
Mimi nilishanunua jagger shopperz, nafika home nafungua tu, ikatoka kaharufu fulani not amazing.
Second chupa haina filter, nikarudi shoppers nikawaambia, huu mzigo feki, wahindi wakagoma goma. Nikawaambia filter ni lazima iwepo, wakabisha, kuwaambia nanunua mohans zina filter wakasema na wao wamenunua mohans.
Nikawaambia isiwe kesi, warudi mohans wawaambie. Nikaiacha nikaondoka.
Wiki baadae napita mitaa, si nikawa mohans, nikawasimulia, mohans wakasema jamaa wa shoppers yeye ndo alijifanya mjanja, kakataa kununua kwao kaagiza container lake mwenyewe sauzi, kumbe kapigwa.
Nikarudi shoppers nikawaambia mohans kasema nyinyi hamkununua kwake huu mzigo, yeye zake zote zina filter,
Hapo shoppers ndo akakubali kunirefund, nikaenda kwenye shelf nikakuta zile chupa feki zote wametoa 🤣🤣🤣🤣🤣