Wanywaji wengi wanabahatika kupata watoto wa kike

Wanywaji wengi wanabahatika kupata watoto wa kike

Mbona mimi mnywaji sana na rafiki zangu pia lakini hali haiko jhivyo...................hao jamaa 20 sio wa kupika kweli?.....km kweli basi wanaojua tupeni facts
 
Kama vile nilivyopeleka home juzi eehhh????

Hahahaha umeona alafu uliza kama kaka ako alipeleka kitu home? Atajitetea ooh nalea mara mke na watoto wanaumwa mara ada za shule kipindi hiki sababu chungu nzima
 
Mi napiga ulabu asee. Na watoto wangu wote wawili ni mademu. Hii haimaanishi ntaacha kupiga ulabu.

Aftaroo watoto wa kike ni dili. Wakiolewa unaanza kuuza asset kidogokidogo unaenda hanemuni na mama yao. Ya kiume yanakudai mpaka vitanda na magodoro yake.

Hapo babu, uzidishe maombi wasikutane na mahatbreaker tuuuuuu!!!!
 
Hahahaha umeona alafu uliza kama kaka ako alipeleka kitu home? Atajitetea ooh nalea mara mke na watoto wanaumwa mara ada za shule kipindi hiki sababu chungu nzima

Yaani kama ulikuwepo vile sio niulize nimeshuhudia malalamiko kibao ooohh ada ya st. marys, mara ooohhh watoto wagonjwa ulimsikia nini? Yaani hizo sababu ndo alitoa mwingine bado yuko chuo hajaanza malalamiko
 
Huyu muanzisha thread na wasiwasi nae kama alisikia vile tukijadiliiiiiiiii?? Asprin hebu nambie Babu yangu

Hivi mlikaa wapi ati?

Naomba tufahamiane basi
 
Mtoto wa kike ni rahisi kupatikana as mama ana xx na baba ana xy (mayai hayo).
Mazingira ya kupatikana mtoto wa kiume yapo complicated kidogo kuliko wa kike. Ndio maana unaona hizo njemba zinafyatua warembo tu.
 
Mkuu nimepata kiu ghafla...naenda kaunta. Hata nikipata mabinti 50, bia siachi..
Aseeenti!!!!!...nitakuuuzia mbwa 50 kulinda kaya...!!:smile-big: ila bia tam bana...kapashe!!
 
Nimejaribu kufanya kautafiti nina rafiki zangu zaidi ya 20 ni wanywaji wazuri wa pombe cha kushangaza hawa wadau wake zao karibia wote wamebahatika kupata watoto wa kike, je kuna konekesheni gani kati ya pombe na ujio wa hawa watoto, naomba jibu wanasayansi.
Je inabidi jamaa anapo taka mtoto wa kiume astaafu pombe kama mwezi hivi????
Wadau wa kaunta Asprin, Teamo, Fidel80, Kimey, GY, st.R.R, The Finest, Bigirita, Acid na wengineo michango yenu muhimu jamani kwa hili.
Nawakilisha.
babu alikuwa anakamata kinywaji... baba hali kadhalika... na wote wana matoto ya kiume wengi kuliko wa kike...pombe kiburudisho... mtoto majaliwa ya muumba!!!msiviunganishe bana!!
 
Back
Top Bottom