Wao walifanya hivi. Sisi tunafanya nini Waja wake? Anauliza Ustaadhi kwa uchungu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Labda nimjibu huyu dogo. Si lazima

Screenshot_2025-04-30-13-33-06-196_com.twitter.android~2.jpg
kuiga wanachofanya makafiri. Sisi tuna chuo pale Morogoro. Hajui? Tuna msikiti mkubwa sana pale Dodoma. Na tumeomba mara kadhaa serikali itununulie camera ya kuangalizia mwezi na kuruhusu tende zije bila kodi. Tusipate shida wakati wa mfungo. Na pia watu wasafirishwe kuhiji Maka.
 
Labda nimjibu huyu dogo. Si lazima

View attachment 3320547kuiga wanachofanya makafiri. Sisi tuna chuo pale Morogoro. Hajui? Tuna msikiti mkubwa sana pale Dodoma. Na tumeomba mara kadhaa serikali itununulie camera ya kuangalizia mwezi na kuruhusu tende zije bila kodi. Tusipate shida wakati wa mfungo. Na pia watu wasafirishwe kuhiji Maka.

Ee sawa chizi.... Kazi kuita watu makafir na tunashindwa kupambania Mambo madogo madogo hayo.

Sheikh alikua na Nia ya kuwafungua hari na Mori waislam ili waamke ktk sekta ya afya pia. Hakuna na Nia ya kuwaiga hao unaowaita hivyo mkuu.

Ila katika ukristo .. biblia inasema hivi nanukuu .. hakika nawaambieni siku ya kiama ikifika makahaba na wezi watawatangulieni kuingia mbinguni,...... Mwisho wa nukuu.sabab

Mstari huo unawalejelea watu ambao wameacha kutenda mema sawa na walivyo agizwa. Ila wapo bize kuwahukumu makafir .. ambao at last MUNGU ndiye mwenye ujuzi na maamuzi kuwahusu.
 
"Sisi tuna chuo pale morogoro" anayeongea hivi lazima awe mtoto wa 2000.
 
Wasio waisilamu ni makafir tu. Hilo mbona lipo wazi sheikh wangu?
 
Kuna watu wapo serious sana na dunia
 
Hospital za Agha Khan ni Hospital zilizojengwa na jumuia ya waislam.Zipo Tanzania nzima na zipo Afrika mashariki na zipo dunia nzima.
Na sijagusia shule na vyuo vikuu vya vya Agha Khan.
Ukija kwenye taasisi ya kiislamu ya Istiqama ina mahospital na mashule Tanzania nzima.Ukija Taasisi ya Bilal Muslim wana hospital na shule Tanzania nzima.ukija Bohra Muslim wana mashule na hospital Tanzania nzima kutumia jina la Burhanudin.ukija Ansaar wana mashule na mahospital.Ukija Abdallah Karimjee.shule ni nyingi na nyingine aliwapa serekali baada ya uhuru.Agh Kgan.hospital ni ya kwanza.kujengwa Tanzania na Afrika mashariki walijenga hospital na shule nyingi tu.
 
Labda nimjibu huyu dogo. Si lazima

View attachment 3320547kuiga wanachofanya makafiri. Sisi tuna chuo pale Morogoro. Hajui? Tuna msikiti mkubwa sana pale Dodoma. Na tumeomba mara kadhaa serikali itununulie camera ya kuangalizia mwezi na kuruhusu tende zije bila kodi. Tusipate shida wakati wa mfungo. Na pia watu wasafirishwe kuhiji Maka.
Kuawita watu majina mabaya huku ukiwategemea nako ni kuonyesha uwezo mdogo wa kufikiri😀😀😀😀😀
 
"Sisi tuna chuo pale morogoro" anayeongea hivi lazima awe mtoto wa 2000.
Braza samahani mimi ni mtoto wa 2008 ila, nasikia kile chuo kilikuwa ni chuo cha Tanesco mali ya umma, ila wazee wa vilipuzi walienda kumlilia Mzee Benito kuwa wao hawana chuo japo wana Masinagogi mengi ya wafadhili, alafu akawapa. Eti eti eti eti ni kweli Braza.
 
Sisi tuna chuo pale Morogoro.
Kile kilichokuwa mali ya serikali (chuo Cha TANESCO) raisi Mkapa akawapatia waislam chini ya BAKWATA.
Sijui kungekuwa na kelele kiasi gani chuo cha serikali mfano IFM kisha raisi Kikwete au Mwinyi angewapa wakristo hasa kiwe chini TEC ya kanisa Katoliki!!
 
Cc: Mohamed Said , FaizaFoxy sijasikia hapa malalamiko yao wanaonewa au wanapendelewa watu fulani.
 
Ee sawa chizi.... Kazi kuita watu makafir na tunashindwa kupambania Mambo madogo madogo hayo.

Sheikh alikua na Nia ya kuwafungua hari na Mori waislam ili waamke ktk sekta ya afya pia. Hakuna na Nia ya kuwaiga hao unaowaita hivyo mkuu.

Ila katika ukristo .. biblia inasema hivi nanukuu .. hakika nawaambieni siku ya kiama ikifika makahaba na wezi watawatangulieni kuingia mbinguni,...... Mwisho wa nukuu.sabab

Mstari huo unawalejelea watu ambao wameacha kutenda mema sawa na walivyo agizwa. Ila wapo bize kuwahukumu makafir .. ambao at last MUNGU ndiye mwenye ujuzi na maamuzi kuwahusu.
Biblia inasema,Utakitoaje kibanzi ndani ya hicho la mwenzako?Wakati lako Lina boriti ndani yake!
 
Back
Top Bottom