Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Labda nimjibu huyu dogo. Si lazima
View attachment 3320547kuiga wanachofanya makafiri. Sisi tuna chuo pale Morogoro. Hajui? Tuna msikiti mkubwa sana pale Dodoma. Na tumeomba mara kadhaa serikali itununulie camera ya kuangalizia mwezi na kuruhusu tende zije bila kodi. Tusipate shida wakati wa mfungo. Na pia watu wasafirishwe kuhiji Maka.
Wasio waisilamu ni makafir tu. Hilo mbona lipo wazi sheikh wangu?Ee sawa chizi.... Kazi kuita watu makafir na tunashindwa kupambania Mambo madogo madogo hayo.
Sheikh alikua na Nia ya kuwafungua hari na Mori waislam ili waamke ktk sekta ya afya pia. Hakuna na Nia ya kuwaiga hao unaowaita hivyo mkuu.
Ila katika ukristo .. biblia inasema hivi nanukuu .. hakika nawaambieni siku ya kiama ikifika makahaba na wezi watawatangulieni kuingia mbinguni,...... Mwisho wa nukuu.sabab
Mstari huo unawalejelea watu ambao wameacha kutenda mema sawa na walivyo agizwa. Ila wapo bize kuwahukumu makafir .. ambao at last MUNGU ndiye mwenye ujuzi na maamuzi kuwahusu.
Itakuwa.... Sikubishii kabisa."Sisi tuna chuo pale morogoro" anayeongea hivi lazima awe mtoto wa 2000.
Wasio waisilamu ni makafir tu. Hilo mbona lipo wazi sheikh wangu?
Kuawita watu majina mabaya huku ukiwategemea nako ni kuonyesha uwezo mdogo wa kufikiri๐๐๐๐๐Labda nimjibu huyu dogo. Si lazima
View attachment 3320547kuiga wanachofanya makafiri. Sisi tuna chuo pale Morogoro. Hajui? Tuna msikiti mkubwa sana pale Dodoma. Na tumeomba mara kadhaa serikali itununulie camera ya kuangalizia mwezi na kuruhusu tende zije bila kodi. Tusipate shida wakati wa mfungo. Na pia watu wasafirishwe kuhiji Maka.
Braza samahani mimi ni mtoto wa 2008 ila, nasikia kile chuo kilikuwa ni chuo cha Tanesco mali ya umma, ila wazee wa vilipuzi walienda kumlilia Mzee Benito kuwa wao hawana chuo japo wana Masinagogi mengi ya wafadhili, alafu akawapa. Eti eti eti eti ni kweli Braza."Sisi tuna chuo pale morogoro" anayeongea hivi lazima awe mtoto wa 2000.
Kile kilichokuwa mali ya serikali (chuo Cha TANESCO) raisi Mkapa akawapatia waislam chini ya BAKWATA.Sisi tuna chuo pale Morogoro.
Cc: Mohamed Said , FaizaFoxy sijasikia hapa malalamiko yao wanaonewa au wanapendelewa watu fulani.Kile kilichokuwa mali ya serikali (chuo Cha TANESCO) raisi Mkapa akawapatia waislam chini ya BAKWATA.
Sijui kungekuwa na kelele kiasi gani chuo cha serikali mfano IFM kisha raisi Kikwete au Mwinyi angewapa wakristo hasa kiwe chini TEC ya kanisa Katoliki!!
Biblia inasema,Utakitoaje kibanzi ndani ya hicho la mwenzako?Wakati lako Lina boriti ndani yake!Ee sawa chizi.... Kazi kuita watu makafir na tunashindwa kupambania Mambo madogo madogo hayo.