Waogope na waepuke sana watu wenye wivu, avoid resentful people at all costs

Waogope na waepuke sana watu wenye wivu, avoid resentful people at all costs

cocastic & haszu mpewe room mpambano ni mkali leo [emoji91]
Huyo dada anadai mimi natafuta mabwana, wakati mi PM yangu nimefunga, kama sio kutaka nimfate PM ni nini? Nishamwambia hana hadhi ya ku date na mimi, na hajawahi kudate na mwanaume kama mimi.
 
Pole sana, na hapo hapo ungemwambia na wewe shoga.....kajuaje?? Real recognise Real lol
Won’t help, wengi ndio hao resentful, ni wanaume wenye sura ngumu wanaodhani uwanaume ni kua rough and shabby
 
Huyo dada anadai mimi natafuta mabwana, wakati mi PM yangu nimefunga, kama sio kutaka nimfate PM ni nini? Nishamwambia hana hadhi ya ku date na mimi, na hajawahi kudate na mwanaume kama mimi.
😂😂😂😂😂 watu weuweeeee!!!
 
😂😂😂😂 yaan nacheka km mwehu vile. Alipost hapa picha ake, nashangaa bado haishiwi heka heka za kujitangaza, sijui waja wa JF hawaja muelewa, Lol
Tukajipake mavi ya lidume hiyo gundu itatoka kweli?😄
 
Back
Top Bottom