Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili

Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Waombaji ajira za ualimu waitwa usaili. Usaili huo utafanyika kati ya january 14 mapaka 24 mwezi februari 2025.
Ikumbukwe kuwa usaili huo uliahirishwa tangu october 17, 2024.
Soma zaidi
<<< WAOMBAJI AJIRA ZA UALIMU WAITWA USAILI 2025
1735658422194.jpg
 
Wanatuhatibia watoto hao wachache ... Kwenye ulimwengu wa sasa Teacher's must be a cream...wao ndio foundation ya kila kitu... Sina wivu na sina hamu na ualimu.
Ungetoq mawazo channya

Ila nkuulze kama amehitimu na kutunikiw cheti inamaama huamin ata mfumo?
 
Ungetoq mawazo channya

Ila nkuulze kama amehitimu na kutunikiw cheti inamaama huamin ata mfumo?
The system was rigged....huwezi kupata competent people without interviews...unless tungekua bado zile zama za uhaba wa graduates...ila sasa tuna graduates wengi...hivyo ni vizuri wale wajuzi kuliko wenzao wawe vetted watusukumie ghurudumu la Elimu ya Tanzania
 
Back
Top Bottom