Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili

Waombaji ajira za Ualimu waitwa Usaili

The system was rigged....huwezi kupata competent people without interviews...unless tungekua bado zile zama za uhaba wa graduates...ila sasa tuna graduates wengi...hivyo ni vizuri wale wajuzi kuliko wenzao wawe vetted watusukumie ghurudumu la Elimu ya Tanzania
Sasa unakuw huelewek mkuu maan that time ajir zilitolew kwa wote sasa hawaajil wote ndio wanafanyisha usajili

Sijui upo mbele ya muda au nyuma ya muda
 
Sasa unakuw huelewek mkuu maan that time ajir zilitolew kwa wote sasa hawaajil wote ndio wanafanyisha usajili

Sijui upo mbele ya muda au nyuma ya muda
Uko sahihi...nimefurahia interview zina vet out vichwa maji na vilaza walionunua degree zao na kuhonga papa
 
Ubaya Ubwelaa,Jambooo jemaa ingawa namashaka vijana watapigwà elaaa sana ukilitimbaa.
 
Mfumo wa interview ni mfumo ambao unatumika kwa nchi nyingi tu ili kupata mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi sema kwa kwetu hasa kwa waalimu ilizoeleka kubebwa tu na kupangiwa kituo
 
Mimi nina Suala moja ndugu zangu hebu naomba tusaidiane.....Hili katazo la "Usitoe wala Kupokea Rushwa" ni realistic kweli au ni zuga tu kupunguza watu ila wataojiongeza ndio wataopenya?
 
Mimi nina Suala moja ndugu zangu hebu naomba tusaidiane.....Hili katazo la "Usitoe wala Kupokea Rushwa" ni realistic kweli au ni zuga tu kupunguza watu ila wataojiongeza ndio wataopenya?
Kaka rushwa nayo inategemea umempa Nani aisee chunga sana unaeza pigwa hela alafu ukakosa ajira. Habari ya rushwa usiiamini sana ndugu. Kuna Hawa jamaa wanasema leta laki 5 upate ajira kua makini. Habari ni interview kaka faulu upate
 
Back
Top Bottom