Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Mbona kam una wivu kjnKumbe usaili upo safi sana wamezoea kazi za bure hadi wasioweza kusimama mbele za watu na kujieleza walipata kazi
Wanatuhatibia watoto hao wachache ... Kwenye ulimwengu wa sasa Teacher's must be a cream...wao ndio foundation ya kila kitu... Sina wivu na sina hamu na ualimu.Mbona kam una wivu kjn
Embu Tafuta ela
Hii ndio inaitwa chuki bureeeKumbe usaili upo safi sana wamezoea kazi za bure hadi wasioweza kusimama mbele za watu na kujieleza walipata kazi
Haaahaa 😅😅😂Mbona kam una wivu kjn
Embu Tafuta ela
Ulitaka tununue au tuuze chuki ?Hii ndio inaitwa chuki bureee
HahaKumekucha
Ungetoq mawazo channyaWanatuhatibia watoto hao wachache ... Kwenye ulimwengu wa sasa Teacher's must be a cream...wao ndio foundation ya kila kitu... Sina wivu na sina hamu na ualimu.
The system was rigged....huwezi kupata competent people without interviews...unless tungekua bado zile zama za uhaba wa graduates...ila sasa tuna graduates wengi...hivyo ni vizuri wale wajuzi kuliko wenzao wawe vetted watusukumie ghurudumu la Elimu ya TanzaniaUngetoq mawazo channya
Ila nkuulze kama amehitimu na kutunikiw cheti inamaama huamin ata mfumo?
Kama imekaa kifeki hiviWaombaji ajira za ualimu waitwa usaili. Usaili huo utafanyika kati ya january 14 mapaka 24 mwezi februari 2025.
Ikumbukwe kuwa usaili huo uliahirishwa tangu october 17, 2024.
Soma zaidi
<<< WAOMBAJI AJIRA ZA UALIMU WAITWA USAILI 2025
View attachment 3189490
Kiazi kweli weweKama imekaa kifeki hivi
Usiende kwenye usaili sasaKama imekaa kifeki hivi