vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,500
Niko naomba nafasi ya assistant Nursing officer, sifa inayotakiwa ni An ordinary diploma in nursing, cha kushangaza nimeomba sehemu moja tu ya bugando, sehemu nyingine eti naambiwa sina sifa,
tazama 👇👇
Sifa zinazotakiwa
Mimi Qualification nilizonazo na ambazo nimejaza kwenye akaunt yangu
Sasa Cha kushangaza nikiomba hiyo nafasi inagoma
Wakati huo huo, Taasisi ya Bugando medical Centre penyewe nimeomba ikakubali wakati sifa ni hizo hizo
sasa tatizo ni nn wadau hapa?