Mdogu wa kike ana diploma ya nursing and midwifely, but katika kuomba ameniuliza kama anaweza kuomba nafasi ya muuguzi daraja II yaani wa certificate.
Anauliza kufanya hvyo kwasababu upepo kwa upande wao ni mbaya yaani unakuta wilaya nzima wanataka RN mmoja tu wakati EN zaidi ya 20 mfano yeye wilaya aliyopo nafasi ya RN ni moja wakati EN ni nafasi 26 sasa anataka kuomba EN.
Changamoto ni kwamba Ana cheti cha EN lakini leseni ni RN vipi inawezekana?
Ushauri wenu jamani🙏