Waombaji wote kupitia ajira portal naombeni mnijibu hili swala

Waombaji wote kupitia ajira portal naombeni mnijibu hili swala

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Je kwenye uandishi wa barua ya maombi, anwani unaandika ya taasisi husika au unaandika anwani ya sekretarieti ya ajira?
pia je barua ya maombi inawekwa pale kwenye kipengele cha Recomendation Letter au inawekwa sehwmu gani?

naombeni msaada katika hilo wakuu🙏🙏🙏
 
Anuani ya secretariat ndo unayoomba then ukifaulu ndo wanakupost kwenye taasisi husika
 
Anuani ya secretariat ndo unayoomba then ukifaulu ndo wanakupost kwenye taasisi husika
asante mkuu, vipi kuhusu barua ya maombi inawekwa kwenye kipemgele gani
 
Je kwenye uandishi wa barua ya maombi, anwani unaandika ya taasisi husika au unaandika anwani ya sekretarieti ya ajira?
pia je barua ya maombi inawekwa pale kwenye kipengele cha Recomendation Letter au inawekwa sehwmu gani?

naombeni msaada katika hilo wakuu🙏🙏🙏
Anuani ya sekretariat ya ajira kwenye tangazo wameandika soma pale. Pili unapo attach barua ni mwisho pale unapoenda ku apply.
 
Je kwenye uandishi wa barua ya maombi, anwani unaandika ya taasisi husika au unaandika anwani ya sekretarieti ya ajira?
pia je barua ya maombi inawekwa pale kwenye kipengele cha Recomendation Letter au inawekwa sehwmu gani?

naombeni msaada katika hilo wakuu[emoji120][emoji120][emoji120]
Unapoandika barua ya maombi anuani ya taasisi unajaza ya ajira portal alafu iyo barua utaenda kuatachi kwenye maombi kule ni simple tu we fuata maelekezo tu
 
Dah pole sana, nyie ndo wasomi wa taifa,
Inashangaza sana kuona anayejiita msomi anauliza swali kama hilo?

Sijui hua hawasomi tangazo lote? Tangazo linajieleza kila kitu kwa uwazi lakini mtu anauliza kama hapo juu. Inasikitisha.
 
asante mkuu, vipi kuhusu barua ya maombi inawekwa kwenye kipemgele gani
Barua unaweka baada ya kuclick "Apply" ikikubali itakuonesha sehemu ya kuweka barua huku ikikusisitiza uisain kabla ya kuipakia. Baada ya kupakia utathibitisha na wao(system) watakuambia maombi yamepokelewa.
 
Hivi mnasomaga Tangazo la kazi mpaka mwisho? au ukishaona nafasi ya kozi yako ndo imeisha tur
IMG_3569.jpg

Soma (xiii) hio
 
Back
Top Bottom