Anuani ya sekretariat ya ajira kwenye tangazo wameandika soma pale. Pili unapo attach barua ni mwisho pale unapoenda ku apply.Je kwenye uandishi wa barua ya maombi, anwani unaandika ya taasisi husika au unaandika anwani ya sekretarieti ya ajira?
pia je barua ya maombi inawekwa pale kwenye kipengele cha Recomendation Letter au inawekwa sehwmu gani?
naombeni msaada katika hilo wakuu๐๐๐
Unapoandika barua ya maombi anuani ya taasisi unajaza ya ajira portal alafu iyo barua utaenda kuatachi kwenye maombi kule ni simple tu we fuata maelekezo tuJe kwenye uandishi wa barua ya maombi, anwani unaandika ya taasisi husika au unaandika anwani ya sekretarieti ya ajira?
pia je barua ya maombi inawekwa pale kwenye kipengele cha Recomendation Letter au inawekwa sehwmu gani?
naombeni msaada katika hilo wakuu[emoji120][emoji120][emoji120]
Inashangaza sana kuona anayejiita msomi anauliza swali kama hilo?Dah pole sana, nyie ndo wasomi wa taifa,
Barua unaweka baada ya kuclick "Apply" ikikubali itakuonesha sehemu ya kuweka barua huku ikikusisitiza uisain kabla ya kuipakia. Baada ya kupakia utathibitisha na wao(system) watakuambia maombi yamepokelewa.asante mkuu, vipi kuhusu barua ya maombi inawekwa kwenye kipemgele gani