Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
😃Wacha uongo ni vibomu 3 tu ndio vimepenya kwenye mfumo................
Makombora ya kiirani yakipuuzi kweli yanashindwa hata kuua mbwa wa kiyahudi aisee wairani mapunga matupu haya https://www.timesofisrael.com/liveb...-tel-aviv-building-struck-by-iranian-missile/Na tena havifananii kuuliwa kwa 4 star general .............hapo irani wamejinyea
Daah yaani nawashangaa sana yaani hizi taarifa hata Aljazeera wenyewe hawana ile kuna Wairan wa Mkuranga wanazo....Iran imeidhabu Israel kwa makombora tiifu na kubomoa Jiji la Tel aviv Kambi za jeshi na makao mkuu ya Wizara ulinzi
❗️What is known about Iran's retaliatory attack on Israel:
▪️The Iranian Armed Forces have launched an operation against Israel in response to strikes on Iranian territory
▪️Iran's retaliatory operation against Israel was named "True Promise 3"
▪️Explosions rocked Tel Aviv and Jerusalem
▪️Israel's emergency medical service reported five casualties in the Tel Aviv area
▪️Several missiles fired by Iran hit the Israeli National Security Ministry building
▪️The Iranian Armed Forces struck dozens of targets in Israel, military and air bases
▪️The Israeli leadership has "unleashed a war" on Iran, and the Islamic Republic will not let it remain unscathed, the Iranian Supreme leader said
Photo: AP Photo/Tomer Neuberg/Leo Correa
Hivi siyo vibomu vitatu, ni mengi
na zimepita bila kupingwa, labda walisahau kuwasha THAADHivi siyo vibomu vitatu, ni mengi
Si Kweli, kila siku Iran akitaka kupiga makombora yake a natanguliza vikombora ama vidrone mbele then kombora zenyewe zinafuatia, Iron dome iki intercept zile drone nyie mnaona ndio makombora yanakua intercepted ila uhalisia ni kwamba Lile kombora linapiga mpaka linatoa Madhara ndio unaona system ina intercept hewa jinsi ilivyo na speed kubwa.Hayo mengi yame be intercepted na mfumo wa Israel kaangalie video BBC, halafu wametuma makombora lundo
😂😂Daah yaani nawashangaa sana yaani hizi taarifa hata Aljazeera wenyewe hawana ile kuna Wairan wa Mkuranga wanazo....
Wacha uongo ni vibomu 3 tu ndio vimepenya kwenye mfumo................
View attachment 3367393
God Bless Iran
wewe jamaa huoni midude inapita tu, makombora machache ndo yamekuwa intercepted
Tunaangalia kwenye channels mbalimbali live halafu mnaokoteza viclip ,watu wa Bonyokwa mnafahamu zaidi kuliko waandishi wanaofanya live coverage, washenzi sana nyeSi Kweli, kila siku Iran akitaka kupiga makombora yake a natanguliza vikombora ama vidrone mbele then kombora zenyewe zinafuatia, Iron dome iki intercept zile drone nyie mnaona ndio makombora yanakua intercepted ila uhalisia ni kwamba Lile kombora linapiga mpaka linatoa Madhara ndio unaona system ina intercept hewa jinsi ilivyo na speed kubwa.
Ushahidi wa Video huu hapa wa jioni hii
View attachment 3367402
Tel Aviv hapo angalia kombora limepiga kabisa ndio defence ina intercept hewa