Waonyesha uwezo wao Tel aviv na Jerusalem hapakaliki

Daah yaani nawashangaa sana yaani hizi taarifa hata Aljazeera wenyewe hawana ile kuna Wairan wa Mkuranga wanazo....
WaIran wa Buza kwa Limboa au sio?
 
Tunaangalia kwenye channels mbalimbali live halafu mnaokoteza viclip ,watu wa Bonyokwa mnafahamu zaidi kuliko waandishi wanaofanya live coverage, washenzi sana nye
Bonyokwa tena sio Maji Chumvi?
 
Dakika 30 zilizopita Israel imewatangazia wananchi wao wako huru kurudi mtaani na kuendelea na shughuli kama kawaida😃😃😃
Habari ina mkanganyiko.
BBC correspondent wanasema mamlaka imetangaza kuwa hawana uhakika kama Iran itarusha duru ya tatu ya makombora hivyo raia wanaweza wakatoka mafichoni.
Hilo neno hawana uhakika lina utata tayari.
 
ile THAAD ivi iko wapi ? walisahau kuiwasha au vipi
iyo imetunzwa siunajua stelingi huwa anapigolake la kumalizia,
vishindo vizito vile ni hypersonic missile..

The Islamic Republic News Agency confirmed these missile strikes, indicating the use of the Fattah-1 hypersonic missile.
The missile strikes were described as a response to Israel's recent attacks, which Iran labeled as "unprovoked."
 
hahahaha eti eeh
 
Yaani mtu anaeswali swala tano kwa siku na kuwakazania watoto madrasa badala ya shule anaweza kumzidi teknolojia anaesali mara moja kwa wiki ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…