Waonyesha uwezo wao Tel aviv na Jerusalem hapakaliki

Tunaangalia kwenye channels mbalimbali live halafu mnaokoteza viclip ,watu wa Bonyokwa mnafahamu zaidi kuliko waandishi wanaofanya live coverage, washenzi sana nye
Clip inaonesha dhahiri defense ikipiga hewa, unaweza kutuonesha na wewe zikiwa intercepted (kombora zenye speed hio) either za uchochoroni ama hizo media kubwa unazosema unaangalia wewe?
 
🇮🇷 | According to local reports from multiple regions across Iran, air defense systems are now functioning properly and with high accuracy. In several areas, sources claim a 100% interception rate has been achieved against incoming hostile projectiles.

🔹@enemywatch
 
Picha kama hizi tumezoea kuziona Gaza na Lebanon. Hapa Netanyahu amempata mbabe, hakutegemea
 

Mkuu nani kaadhibiwa....

Israeli strikes kill some of Iran’s most powerful men, including military and nuclear leaders​

 

Who was Hossein Salami, Iran’s IRGC head killed by Israel?​



Hossein Salami, who was appointed to lead the IRGC in 2019, among the most senior figures killed by Israel.
By Justin Salhani
Published On 13 Jun 202513 Jun 2025

Hossein Salami, the commander of Iran’s elite Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC), was among the senior Iranian officials killed in Israel’s sweeping air strikes that began on Thursday.
A longtime confidant of Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei, Salami rose up the ranks in Iran, becoming head of the IRGC in 2019, when he replaced Mohammad Ali Jafari.

Mkuu....Nani kaadhibiwa hasa...? Unajua Ukweli.
 

Uwezo ndio huu....Ndege 200...mmeangusha moja.....Kituko cha Karne...
 

Iran kamuua nani so far......Labda hujui yanayotokea...

Gen. Hossein Salami was the leader of Iran’s elite Revolutionary Guard.


 
HAMAS, Hezboulla na Houthi walianza hivyo hivyo na mlisema hivyo hivyo, baadaye tukasikia wanauwa wananwake na watoto. Mara Hawa siyo binadamu, na mengine mengi.

Tujipe muda Israel walisema hili game litakuwa la wiki kadhaa, ila sijui kadhaa ni ngapi kwa wanaojua hesabu.
 

Hii ndio inaitwa adhabu...Gen. Amir Ali Hajizadeh was the head of the Revolutionary Guard’s missile program.AFP via Getty Images

 

Hii ndio adhabu......Sio hilo bomu katika jengo....Gen. Mohammad Bagheri served as the chief of staff of Iran’s armed forces.

 

Hebu tuambie hilo Kombora limeua nani hasa.....angalia adhabu...Gholamali Rashid was the deputy chief of the general staff of the armed forces of Iran.

 

Unapoondoa Kichwa kama hiki....Hii ndio cream ya Nuklia....Huwezi kuibadili kirahisi....Huu ndio Uwezo....Bwana Green Rajabu..Fereydoun Abbasi-Davani served as head of Iran’s Atomic Energy Organization from 2011 to 2013.

 
Kubababake Iran wana balaa hizo missiles zote zimetua kwenye ardhi ya Israel? Hawa kweli wakiamua kuifuta Israel wanaweza nawaza wakizishusha hizo kombora kwenye makazi ya watu itakuaje
Mapenzi mabaya.......Kama hawataweza kuifuta sasa hivi....Hawataweza milele....!
 
Mabomu 100 yameishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…