Wamerusha mabomu 100 ngoja tuone kama yote yatatua Israel 😁😁😁Kubababake Iran wana balaa hizo missiles zote zimetua kwenye ardhi ya Israel? Hawa kweli wakiamua kuifuta Israel wanaweza nawaza wakizishusha hizo kombora kwenye makazi ya watu itakuaje
Iran imeidhabu Israel kwa makombora tiifu na kubomoa Jiji la Tel aviv Kambi za jeshi na makao mkuu ya Wizara ulinzi
❗️What is known about Iran's retaliatory attack on Israel:
▪️The Iranian Armed Forces have launched an operation against Israel in response to strikes on Iranian territory
▪️Iran's retaliatory operation against Israel was named "True Promise 3"
▪️Explosions rocked Tel Aviv and Jerusalem
▪️Israel's emergency medical service reported five casualties in the Tel Aviv area
▪️Several missiles fired by Iran hit the Israeli National Security Ministry building
▪️The Iranian Armed Forces struck dozens of targets in Israel, military and air bases
▪️The Israeli leadership has "unleashed a war" on Iran, and the Islamic Republic will not let it remain unscathed, the Iranian Supreme leader said
Photo: AP Photo/Tomer Neuberg/Leo Correa
Kubababake Iran wana balaa hizo missiles zote zimetua kwenye ardhi ya Israel? Hawa kweli wakiamua kuifuta Israel wanaweza nawaza wakizishusha hizo kombora kwenye makazi ya watu itakuaje
Mimi nilisharudi toka jumapili ya June 08,2025 Mimi si Mmakonde mimi ni Mmatumbi wa Kilwa-Kivinje., Mji wa mashoga wapi? Mombasa ,Tanga, Zanzibar au Dar-es-salaamu?We Echolima1 uko umenusurika huko au? We ni mtanzania mwenzetu mmakonde jaman mwenye namba yake atusaidie huyu kijana mara ya mwisho Alidai yuko mji wa mashoga Sasa mpaka Sasa 70 wameenda je yuko salama?
Sasa majeneral wa iran wanajificha mashimoni kama panya huku wakiacha raia wao wasio na hatia kulipia upuuzi waoNa tena havifananii kuuliwa kwa 4 star general .............hapo irani wamejinyea
Mtu unajua kabisa akili huna, umebeba fuvu tu lakini unalazimisha kuongea mbele za watu wenye akili, Sasa ungekaa kimya si ungeficha madhaifu ya waliokuzaa kushindwa kusimamia utimamu wako? Ona sasa ubongo wako unavyohangaisha mdomo.Yaani mtu anaeswali swala tano kwa siku na kuwakazania watoto madrasa badala ya shule anaweza kumzidi teknolojia anaesali mara moja kwa wiki ?
Iran imeidhabu Israel kwa makombora tiifu na kubomoa Jiji la Tel aviv Kambi za jeshi na makao mkuu ya Wizara ulinzi
❗️What is known about Iran's retaliatory attack on Israel:
▪️The Iranian Armed Forces have launched an operation against Israel in response to strikes on Iranian territory
▪️Iran's retaliatory operation against Israel was named "True Promise 3"
▪️Explosions rocked Tel Aviv and Jerusalem
▪️Israel's emergency medical service reported five casualties in the Tel Aviv area
▪️Several missiles fired by Iran hit the Israeli National Security Ministry building
▪️The Iranian Armed Forces struck dozens of targets in Israel, military and air bases
▪️The Israeli leadership has "unleashed a war" on Iran, and the Islamic Republic will not let it remain unscathed, the Iranian Supreme leader said
Photo: AP Photo/Tomer Neuberg/Leo Correa
Hayo ndio makao makuu ya jeshi la Israel kwa SasaWacha uongo ni vibomu 3 tu ndio vimepenya kwenye mfumo................
Ndivyo mnavyodanganyana na Wafuga Midevu na Majini wenzako?Hayo ndio makao makuu ya jeshi la Israel kwa Sasa
Netanyahu ameanza kuambaa ambaa na ukuta anamshawishi Putin awapatanishe vita iishe Putin kamwambia hapana mpaka Iran imalize kusafisha storePicha kama hizi tumezoea kuziona Gaza na Lebanon. Hapa Netanyahu amempata mbabe, hakutegemea
Wamepiga makao makuu ya Jeshi yaani kama Pentagon ya Israel. Mungu ahebushilie mbali.Si Kweli, kila siku Iran akitaka kupiga makombora yake a natanguliza vikombora ama vidrone mbele then kombora zenyewe zinafuatia, Iron dome iki intercept zile drone nyie mnaona ndio makombora yanakua intercepted ila uhalisia ni kwamba Lile kombora linapiga mpaka linatoa Madhara ndio unaona system ina intercept hewa jinsi ilivyo na speed kubwa.
Ushahidi wa Video huu hapa wa jioni hii
View attachment 3367402
Tel Aviv hapo angalia kombora limepiga kabisa ndio defence ina intercept hewa
Endelea kujifariji lakini Kipondo kiko palepale tuNetanyahu ameanza kuambaa ambaa na ukuta anamshawishi Putin awapatanishe vita iishe Putin kamwambia hapana mpaka Iran imalize kusafisha store
Kwa mujibu wako sawa .......je kafa nani¿??Hayo ndio makao makuu ya jeshi la Israel kwa Sasa
Kenya wametuzidi vitu vingi kwa sababu hawajawahi kuwa na Rais mvaa makobazi. Tanzania nzima hakuna shule, hospitali wala chuo kilichojengwa na waarabu. Halafu bado una swali swala tano. Walimfuata Traore wakimwambia wanataka kujenga misikiti 500. Jamaa kawaambia anahitaji vitu muhimu hataki misikiti wamekimbia.Mtu unajua kabisa akili huna, umebeba fuvu tu lakini unalazimisha kuongea mbele za watu wenye akili, Sasa ungekaa kimya si ungeficha madhaifu ya waliokuzaa kushindwa kusimamia utimamu wako? Ona sasa ubongo wako unavyohangaisha mdomo.
Safi kabisa wewe ni ndugu yetu nilikuwa na wasiwasi Ayatollah sio poa yule dingi.Mimi nilisharudi toka jumapili ya June 08,2025 Mimi si Mmakonde mimi ni Mmatumbi wa Kilwa-Kivinje., Mji wa mashoga wapi? Mombasa ,Tanga, Zanzibar au Dar-es-salaamu?
Iran ni dubwasha US anaelewa Hilo ndio maana US alionya kabla ila kamuacha toto tundu ili iwe fundisho next time, Iran anaweza kuifuta Israel muda wowote akitaka. Cha muhimu Iran ni kuangalia masnichi wa ndani ndio wanaiangusha serikaliHii ndio nafasi adhimu ya IRAN kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia.......yaani Iran ikichezea nafasi hii ndio basi tena